Wabunge wa EU watoa tamko kutekwa kwa Polepole

Hawa wahuni wa Ulaya wanatuchezea shere tu. Ukombozi wa nchi huletwa na wananchi husika wenyewe.

Kule kwa Traore wangeendelea kuwategemea wafaransa, kamwe wasingefanikiwa.

Kule Madagascar wangeendelea kutegemea watu wa Ulaya wangechelewa sana.
 
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.

Hatutakiwi kufika hapa kama Taifa , ikumbukwe ,ni Bunge hili hili limetoa matamko husu ukiukwaji wa haki za binadamu tz ya utekaji ,ya mh lissu.

Hii inafanyika kwa faida ya nani? and what next , Mwachieni polepole, mwachieni lissu ,sitisha uchaguzi tupate mwafaka wa kitaifa , Rais aliopo haongezewe mda ,kusimamia haya ,kwani Ikulu kuna nini?

Nchi kama Malawi kweli ni yakuweza kutushinda tz kwenye mambo ya uchaguzi?.

Leo unaweza tumika umiza watu , ila jua one mistake ukafanya unapotezwa pia .

Kazi haram mwisho wake huwa mbaya sana mfano

Kwa majambazi sugu wakidhulumiana

Wauza madawa wakidhulumina n.k .

Tafadhali sana , huu sio mda wa kutupiana vijembe bali tuangalie tunatokaje hapa, ni ushauri tu.

Thanks
 
Hawa wahuni wa Ulaya wanatuchezea shere tu. Ukombozi wa nchi huletwa na wananchi husika wenyewe.

Kule kwa Traore wangeendelea kuwategemea wafaransa, kamwe wasingefanikiwa.

Kule Madagascar wangeendelea kutegemea watu wa Ulaya wangechelewa sana.
Wamekuzuia tarehe 29/10 kuandamana?!
 
Hao nao kama hawawezi kuchukua hatua ni heri wangekaa kimya tu!

Kulaani hakuchaonesha mabadiliko yoyote na bado kila siku wanafanya kilekile!!
 
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.
View attachment 3487028
If Samia The Killer and her contingent of thugs continue on this path, chances are, by 2030, they’ll have piqued the interest of the ICC Prosecutor. Let them continue playing with fire!
 
Ikiweze
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.
View attachment 3487028
Ikiwezekana watengeneze Jeshi la kuikomboa Tanzania, Raisi atakua Lissu waziri mkuu captain Tesha, Mange hatumwamini sana ila tutampa japo ubalozi wa Vanuatu ili kuuthamini mchango wake.
 
Amnesty international nao wametoa neno.

Amnesty International is deeply alarmed that Humphrey Polepole might have been forcibly disappeared and possibly assaulted. The Tanzanian government must put every effort into locating him and bringing him back to safety. They must hold his abductors accountable.

Duh,
Yaani mtekaji ndiye aokoe mtekwaji na kuwajibisha watekaji?!
Anaweza akiamua kuwajibika kwa kujiuzulu, kulivunja genge la watekaji, pamoja na kuwaachia huru mateka wote, na wafungwa wa kisiasa kuwatoa kwenye magereza.
 
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.
View attachment 3487028
Hao wabunge sipika wao ni nani
 
Polepole ameuliwa kwa staili aliyouliwa Mdude.
 
Wakati bunge hilo linatoa tamko , serikali ya wakati huo ilikaa kimya , na hata haikutoa tamko.

Leo bunge la ulaya wameweka vikwazo vya misaada ndio wanakuja CCM kusema hawakupewa nafasi ya haki ya kusikilizwa.
 
Back
Top Bottom