You are pretty sick dude!... a question and an answer?Wameshakubali mbona na wameshaunda Kambi ya upinzani bungeni baadae wataweka mawaziri vimvuli? usicheze na kitu kinaitwa cheo au uheshimiwa mpango ulikuwa kumbwaga Slaa apotee in next 5 years na umetimia we unadhani CCM tu walitaka kumpoteza sita? na vyama vingine wana watu wao kaka..
Kwa kuwa Mgombea wa Urais kupitia Chadema hajakubaliana na matokeo ya Urais na hajamtambua Rais Kikwete,je wabunge wa Chadema watahudhuria hotuba yake?
Wameshakubali mbona na wameshaunda Kambi ya upinzani bungeni baadae wataweka mawaziri vimvuli? usicheze na kitu kinaitwa cheo au uheshimiwa mpango ulikuwa kumbwaga Slaa apotee in next 5 years na umetimia we unadhani CCM tu walitaka kumpoteza sita? na vyama vingine wana watu wao kaka..
wameshakubali mbona na wameshaunda kambi ya upinzani bungeni baadae wataweka mawaziri vimvuli? Usicheze na kitu kinaitwa cheo au uheshimiwa mpango ulikuwa kumbwaga slaa apotee in next 5 years na umetimia we unadhani ccm tu walitaka kumpoteza sita? Na vyama vingine wana watu wao kaka..
huna hoja wewe
nakubaliana na wewe, kama hajui kazi ya Dr Slaaa, ni mbumbavu, kwani mjinga anaweza kuelimisha akaelewa, ubumbavu ni kama kirema, hautokiMy friend, unajua maana ya ku-think out of the box? Unauwezo kwa invisage the big picture? Kwa watu makini, kila kitu kiko planned. Nakushauri ujitahidi kufikiria ya sasa na ya wakati ujao, usiangaie tu hapa ulipo leo. Ambaye hajona kazi ya Dr. Slaa sijui ni mtu gani.
Halafu kuna kitu kinanishangaza, baada ya NEC kumtangaza JK kuwa ameshinda, huyu ndugu hana sura ya bashasha na wala hajigambi na ushindi wake kama ile 2005 alipochaguliwa na 80%+, hata wale wapiga vuvuzela wa CCM sijasikia tambo zao, sasa tatizo ni nini?
My friend, unajua maana ya ku-think out of the box? Unauwezo kwa invisage the big picture? Kwa watu makini, kila kitu kiko planned. Nakushauri ujitahidi kufikiria ya sasa na ya wakati ujao, usiangaie tu hapa ulipo leo. Ambaye hajona kazi ya Dr. Slaa sijui ni mtu gani.
Halafu kuna kitu kinanishangaza, baada ya NEC kumtangaza JK kuwa ameshinda, huyu ndugu hana sura ya bashasha na wala hajigambi na ushindi wake kama ile 2005 alipochaguliwa na 80%+, hata wale wapiga vuvuzela wa CCM sijasikia tambo zao, sasa tatizo ni nini?
Hivi hujui Zitto na Mbowe wote wanataka kuwa wenyekiti wa chama na kiti kipo kimoja? unajua godfather EM alimkataa Zitto kuwa mwenyekiti eti kwakua hawamjui sawaswa na akaamua kumpa mkwe wake? nawapenda wapiganani wa Chadema no doubt ila mfumo wa chama siupendi ngoja nitafautiane na nyie....
Kwa kuwa Mgombea wa Urais kupitia Chadema hajakubaliana na matokeo ya Urais na hajamtambua Rais Kikwete,je wabunge wa Chadema watahudhuria hotuba yake?
tena umenikumbusha jambo la msingi sana, mwaka 2005 wakati anazindua bunge nilimnukuu mhe jakaya kikwete akisema mabo mawili yaliyonigusa sana japo nilikuwa sijampa kura yangu mwaka huo lakwanza alishangaa ni iweje auditor baada ya kuabini wizi taarifa zisifikishwe polisi moja kwa moja abdala yake watu wanaqitisha vikao. Lapili liliuwa ni kutenganisha siasa na biashara na vyama kutafuta vyanzo vyake vya mapato.kwa kuwa mgombea wa urais kupitia chadema hajakubaliana na matokeo ya urais na hajamtambua rais kikwete,je wabunge wa chadema watahudhuria hotuba yake?