Wabunge wa Chadema watahudhuria hotuba ya Rais Kikwete?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kwa kuwa Mgombea wa Urais kupitia Chadema hajakubaliana na matokeo ya Urais na hajamtambua Rais Kikwete,je wabunge wa Chadema watahudhuria hotuba yake?
 
yes, ni jambo la busara na hekima kuhudhuria hotuba ya rais, hata kama mna mambo yenu rohoni ila huyu ni rais na katiba yetu inataka kumheshimu rais. itakua ni utoto tu na akili za kuku kuzira, hopeful they gonna attend. thanks
 
Wameshakubali mbona na wameshaunda Kambi ya upinzani bungeni baadae wataweka mawaziri vimvuli? usicheze na kitu kinaitwa cheo au uheshimiwa mpango ulikuwa kumbwaga Slaa apotee in next 5 years na umetimia we unadhani CCM tu walitaka kumpoteza sita? na vyama vingine wana watu wao kaka..
 
You are pretty sick dude!... a question and an answer?
Race against time,you know?
 
Wameshakubali mbona na wameshaunda Kambi ya upinzani bungeni baadae wataweka mawaziri vimvuli? usicheze na kitu kinaitwa cheo au uheshimiwa mpango ulikuwa kumbwaga Slaa apotee in next 5 years na umetimia we unadhani CCM tu walitaka kumpoteza sita? na vyama vingine wana watu wao kaka..

My friend, unajua maana ya ku-think out of the box? Unauwezo kwa invisage the big picture? Kwa watu makini, kila kitu kiko planned. Nakushauri ujitahidi kufikiria ya sasa na ya wakati ujao, usiangaie tu hapa ulipo leo. Ambaye hajona kazi ya Dr. Slaa sijui ni mtu gani.

Halafu kuna kitu kinanishangaza, baada ya NEC kumtangaza JK kuwa ameshinda, huyu ndugu hana sura ya bashasha na wala hajigambi na ushindi wake kama ile 2005 alipochaguliwa na 80%+, hata wale wapiga vuvuzela wa CCM sijasikia tambo zao, sasa tatizo ni nini?
 
wameshakubali mbona na wameshaunda kambi ya upinzani bungeni baadae wataweka mawaziri vimvuli? Usicheze na kitu kinaitwa cheo au uheshimiwa mpango ulikuwa kumbwaga slaa apotee in next 5 years na umetimia we unadhani ccm tu walitaka kumpoteza sita? Na vyama vingine wana watu wao kaka..

huna hoja wewe
 
huna hoja wewe

Hivi hujui Zitto na Mbowe wote wanataka kuwa wenyekiti wa chama na kiti kipo kimoja? unajua godfather EM alimkataa Zitto kuwa mwenyekiti eti kwakua hawamjui sawaswa na akaamua kumpa mkwe wake? nawapenda wapiganani wa Chadema no doubt ila mfumo wa chama siupendi ngoja nitafautiane na nyie....
 
My friend, unajua maana ya ku-think out of the box? Unauwezo kwa invisage the big picture? Kwa watu makini, kila kitu kiko planned. Nakushauri ujitahidi kufikiria ya sasa na ya wakati ujao, usiangaie tu hapa ulipo leo. Ambaye hajona kazi ya Dr. Slaa sijui ni mtu gani.

Halafu kuna kitu kinanishangaza, baada ya NEC kumtangaza JK kuwa ameshinda, huyu ndugu hana sura ya bashasha na wala hajigambi na ushindi wake kama ile 2005 alipochaguliwa na 80%+, hata wale wapiga vuvuzela wa CCM sijasikia tambo zao, sasa tatizo ni nini?
nakubaliana na wewe, kama hajui kazi ya Dr Slaaa, ni mbumbavu, kwani mjinga anaweza kuelimisha akaelewa, ubumbavu ni kama kirema, hautoki
 
My friend, unajua maana ya ku-think out of the box? Unauwezo kwa invisage the big picture? Kwa watu makini, kila kitu kiko planned. Nakushauri ujitahidi kufikiria ya sasa na ya wakati ujao, usiangaie tu hapa ulipo leo. Ambaye hajona kazi ya Dr. Slaa sijui ni mtu gani.

Halafu kuna kitu kinanishangaza, baada ya NEC kumtangaza JK kuwa ameshinda, huyu ndugu hana sura ya bashasha na wala hajigambi na ushindi wake kama ile 2005 alipochaguliwa na 80%+, hata wale wapiga vuvuzela wa CCM sijasikia tambo zao, sasa tatizo ni nini?

Kama nyie mnafikiria ya sasa na ya wakati ujao mnafikiria out of the box mbona mmeshabikia Chadema kufanya system ya wesminster kuchukua kila kitu kwenye KUB? au hamjua kuna wakati ujao? fungua macho uone kijana
 
Hivi hujui Zitto na Mbowe wote wanataka kuwa wenyekiti wa chama na kiti kipo kimoja? unajua godfather EM alimkataa Zitto kuwa mwenyekiti eti kwakua hawamjui sawaswa na akaamua kumpa mkwe wake? nawapenda wapiganani wa Chadema no doubt ila mfumo wa chama siupendi ngoja nitafautiane na nyie....

Hakuungwa mkono na watu wengi, Zitto bado mdogo kuendesha chama.Huwezi pewa uongozi kwa muda mfupi hivyo. Ni lazima chama kikufahamu. Vyama vyote vina waasisis. Nauhakika Nyerere anguka hai 2005 JK asingekuwa raisa wa TZ
 
Kwa nionavyo mimi, wabunge wa Chadema wanastahili kutoka nje Mh. Rais Kikwete akiingia kulihutubia bunge.

Na hii itawapa leverage kubwa sana kama chama katika kusisitiza hoja yao ya kuchakachuliwa kwa kura zao!!
 
Sioni haja wamsusie kuonyesha hawakubaliani na yaliyotokea, lakini ngoja kwanza wabunge waapishwe.
 
Kwa kuwa Mgombea wa Urais kupitia Chadema hajakubaliana na matokeo ya Urais na hajamtambua Rais Kikwete,je wabunge wa Chadema watahudhuria hotuba yake?

Dr. Slaa hajaongea na wandishi wa habari. Habari hizo umezipata wapi? Please provide evidence otherwise you have no right to speak
 
kwa kuwa mgombea wa urais kupitia chadema hajakubaliana na matokeo ya urais na hajamtambua rais kikwete,je wabunge wa chadema watahudhuria hotuba yake?
tena umenikumbusha jambo la msingi sana, mwaka 2005 wakati anazindua bunge nilimnukuu mhe jakaya kikwete akisema mabo mawili yaliyonigusa sana japo nilikuwa sijampa kura yangu mwaka huo lakwanza alishangaa ni iweje auditor baada ya kuabini wizi taarifa zisifikishwe polisi moja kwa moja abdala yake watu wanaqitisha vikao. Lapili liliuwa ni kutenganisha siasa na biashara na vyama kutafuta vyanzo vyake vya mapato.

Kwa kweli bado kidogo nijute kwa kutompa kura yangu. Lakini kutokana na utekelkezaji wa kukumbatia ufisadi na wizi wa mali ya umma na kuwalea wafanyabiashara katika ccm nashukuru kuwa nilipata fursa ingine ya kumnyima kura yangu mwaka 2010
.

rais ni sehemu ya bunge, kama umekubali kuwa mbunge hauwezi kumsusia rais, ilitakiwa ususe ubunge wenyewe. Mathalkani wakisusa hawamsusi raisi kikwet bali wanwasusia waliowachugua
.
 
Hakuna sababu ya kumsikiliza rais wa kundi la watu wachache kati ya wengi pamoja na kuchakachua waende zao wakafanye shughuli zao zingine kama alivyofanya Dk. Silaa tangu awali wabunge wamuunge mkono na siyo kujipendekeza kama kwa jk. Kama cuf
 
Back
Top Bottom