mchakachuaji1
Senior Member
- Nov 4, 2010
- 104
- 7
Wameshakubali mbona na wameshaunda Kambi ya upinzani bungeni baadae wataweka mawaziri vimvuli? usicheze na kitu kinaitwa cheo au uheshimiwa mpango ulikuwa kumbwaga Slaa apotee in next 5 years na umetimia we unadhani CCM tu walitaka kumpoteza sita? na vyama vingine wana watu wao kaka..
Acha kuongea upumbavu kama huna hoja sio lazima kudandia kila topic.