Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Naangalia bunge muda huu naona wabunge wengi wa chadema hawamo bungeni hii pia imejitokeza juma lililopita wabunge wengi hawakuwemo. Binafsi nakata sana tamaa na hili.
Wanakutana muda huu saa saba na robo mara baada ya kuahirisha shughuli za bunge. Tusiangalie kuwa eti mbona ccm wengi pia hawamo naongelea chadema, juma lililopita pia wengi hawakuwemo bungeni na viti vilikuwa wazi. Wao ndio tegemeo la wengi utoro wao unakera.
Tusiwe wepesi kutetea uozo kwenye chama chetu tutakuwa hatukisaidii chama wala wabunge wake. Wakienda hovyo tupaze sauti tuwaambie tusijenge mazingira ya kuwa na chama au wabunge wasio kosolewa au kusemwa.
Mwenyekiti Jenister Mhagama ametangaza kuwa kamati inakutana saa saba na robo mchana na si kweli kuwa kamati inayoenda kukutana ina wabunge wote wa chadema. Msitetee tu mapungufu jamani hamuwasaidii hao mnao tetea.