Lema alienda kwa mapenz yake huko jela sisi 2napiga kelele za nini?alijiona anahatia ndiyo maana akajipeleka mwenyewe,kila siku wana wa maandamano mnasisitiza sheria zifuatwe,halaf nyie ndio wa kwanza kupindisha,halaf mbunge anawakilisha wananch wa jimbo lake wakitoka wote kero za wananch wa majimboni mwao zitawakilishwa na nani?.
Hii ni ews alert?Tunaomba Wabunge wa Chadema kuachana na Kikao cha 5 kinachoendelea Hapa Dodoma na kuelekeza nguvu Arusha kwakuendeleza harakati na Juhudi zilizo anzishwa huko Arusha kwakushinikiza serikali kumuachia Mbunge wa Arusha Godbless Lema achiwe huru bila masharti na kushinikiza serikali kuwafutia mashitaka yote yanayowakabili viongozi wa CHADEMA kwakuwa hii ni dhahiri huu ni udharirishaji wa hali ya juu dhidi ya viongozi wakitaifa wa chama cha CHADEMA.
Tunamwomba Rais wa Jamuhuri ya Muungano aingilie kati kwani Amani tunayoiimba kila siku inaweza kutoweka kwa Dakika na kuirudisha ikawa zaidi ya miaka 10!Kwani watu wakichoka juu ya uonevu na uvumilivu ukawatoka mambo yaweza kuwa kama kwingine tunakokusikia kuna machafuko kwani nako kulianza kama hivi kwakukiuka haki za binadamu na unyanyasaji wa kidemokrasia uliokithili!
Ndo tulio watuma hayo bungen
Hii ni ews alert?
nadhani wabunge wa chadema bado wanahitajika bungeni the only way ni kujipanga ili tupate wawakilishi bungeni lasivyo bunge litakosa wawakilishi kama chadema hawataingia wote
kwani ulitaka awekewe dhamana kwa kosa gani?je hata mahakamani alijipeleka?usiwe na mawazo mafupi kama maisha ya funza.mia