Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Umeongea ukweli japo kuwa umenitukana. Sasa kwa nini CHADEMA wanakuwa hivyo? Kama mnajua nchi hii watu uelewa wao mdogo kwa nini usiwashauri watulie? Kwa maana hizo harakati zao zinanonekana ni fujo (kutokana na ulivyosema watu TZ ni zero brain). Unakumbuka miaka ya 1995 watu walikuwa wakimezeshwa kwamba upinzani ni uadui? Wakakubali matokeo yake mpaka sasa hakuna chama cha upinzani kilichokwisha ingia madarakani. Wakitulia (hao CHADEMA) wanaweza wakafanya wonders maana hata mwaka 2010 (kabla hawajaanza kuwa kama walivyo sasa) walifunika sana. Tatizo CHADEMA Mmeingiliwa........Kuna CIA wamejipenyeza kuwabomoa lakini ninyi hamjui! Kuna mtu maarufu sana CHADEMA ni shushushu (siyo Marando) ambaye ninyi mnamwamini sana mkidhani ni mwenzenu. si mwenzenu huyo!!!! Alijiunga CHADEMA kutoka chama fulani miaka ya hivi karibuni. Mimi ninapokandya kitu huwa nina sababu na ninajua isipokuwa huwa watu hawanielewi. Wanasema mimi ni malengelenge yaani ugonjwa wa kuvimba mwili kama vile umeungua moto. Sawa tu lakini mimi najua vitu na ndo maana siko CHADEMA.....Kwaheri usije kuniongezea tusi jingine.
Hapo ndio utajua ukomavu wa ccm kisiasa, cdm inacheza mziki wa ccm, wabunge wa cdm wamesahau nini kimewapeleka bungeni na kubaki kupotezwa na kina mwigulu.
Mbowe anafikiri kuongoza upinzani Bungeni ni kutembea kwa landcruiser ya serikali tu!!!
Uongozi wa upinzani umemshinda, sasa hivi wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji...
Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni...
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Mkuu nikiwa mitaa ya lumumba halafu nikiona nauli haitoshi huwa nalogin JF na ID yangu ya kuiponda CDM halafu ikionekana kwa Nape huwa sikosi 5000/=
Bunge si mhimili wa serikali ni mhimili wa dola tofautisha hapo. Spika si kiranja wa wabunge mwnye mamlaka ya kuwapiga hata viboko. Nakushauri ukasirike hata ujinyonge kwani kazi wanayofanya ndiyo tuliyowatuma, kadri wanavyokuudhi ndivyo tunavyoamini kuwa wanatimiza wajibu wao, kama ni ndugu yake Lukuvi utajinyonga tu na nitapata raha!Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Katika siku za karibuni wabunge karibu wote wa chadema wamekuwa wakali kutetea na kuapa kuwa nchi hii haiwezi kutawaliwa na waislam, na pia wamemshambulia Rais kuwa ndiye muasisi wa Udini huku wakisahau historia ya nchi hii.
Je, kwa mtazamo huu chadema sasa hakiwezi kuitwa chama cha harakati za kutetea Ukristo Tanzania? Kama wabunge wetu tuliowachagua wanasema hawataki nchi iwe ya kiislamu je, wanataka iwe ya kikristo? Je, kuna tofauti gani kati ya CHADEMA na KIKUNDI CHA UAMSHO?.
Na je, hii si kupoteza mwelekeo wa UMOJA WA KITAIFA?. Kwa nini waone tatizo la upande mmoja tuu wakati upande wa pili kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu dhidi ya Serikali inayolalamikiwa na chadema kuwa inapendelea waislamu?
Je, huu sio mfano wa mpinga KRISTO mwenye jicho moja?
Nawakilisha kwa maslahi ya umoja wa kitaifa.
Mtakufa kwa stress for your fear and irrational hatred towards CHADEMA na hivi kila plan yenu inakuwa frustrated..... ndo kwisha habari yenu...
Kaka,
Hoja bado imening'inia juu. Tumia akili kubwa kuchangia! akili ndogo nadhani hapo sio saizi yake. Tizama kwa macho yote na utaelewa GT alimaanisha nini.
Katika siku za karibuni wabunge karibu wote wa chadema wamekuwa wakali kutetea na kuapa kuwa nchi hii haiwezi kutawaliwa na waislam, na pia wamemshambulia Rais kuwa ndiye muasisi wa Udini huku wakisahau historia ya nchi hii.
Je, kwa mtazamo huu chadema sasa hakiwezi kuitwa chama cha harakati za kutetea Ukristo Tanzania? Kama wabunge wetu tuliowachagua wanasema hawataki nchi iwe ya kiislamu je, wanataka iwe ya kikristo? Je, kuna tofauti gani kati ya CHADEMA na KIKUNDI CHA UAMSHO?.
Na je, hii si kupoteza mwelekeo wa UMOJA WA KITAIFA?. Kwa nini waone tatizo la upande mmoja tuu wakati upande wa pili kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu dhidi ya Serikali inayolalamikiwa na chadema kuwa inapendelea waislamu?
Je, huu sio mfano wa mpinga KRISTO mwenye jicho moja?
Nawakilisha kwa maslahi ya umoja wa kitaifa.
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Unganisha na uletwaji wa bandiko lililojaa namba za viongozi mbalimbali akiwemo N/katibu mkuu Zitto.
Mkuu una la kujadili ili tukemee kwanza huu utoto wa kisiasa wa kina Lema na wenzake.
Zitto mimi siwezi kumuongelea siku hizi.....Zamani (kabla ya sakata la Buzwagi) nilikuwa namkubali sana. lakini baada ya kupewa kitu kidogo (kama milioni mia sita hivi ili atulie) mimi nilishanywea kabisa yaani simuamini tena ZITTO. Na kibaya zaidi yumo kwenye Payroll ya kampuni moja ya madini (jina kapuni ila salary slip niliiona!!!!). Sasa anaposimama jukwaani huwa ana sura mbili. Tuje na hatma yake kisiasa. Huyu dogo ni opportunist. Kama CHADEMA siku wakimzingua atarudi CCM amini usiamini. Vyooote hivyo vinanichanganya sana juu ya ZITTO. Namwona si kijana wa kumtumainia sana ila yupo kwa ajili yake na familia yake tu. Wacha niishie hapa ili nisije nikaporomoshewa matusi maana watu wengine hawajui kinachoendelea na siasa za Tanzania.