Wabunge wa CHADEMA mnakera sana


Wabunge wa aina híi tuwakatae mapema haiwezekani mbunge kila kukicha unamsikia kalianzisha na si kafanya jambo flani kwa ajili kuletea taifa maendeleo.
Tuwakatae ndugu zangu wasirudi bungeni tena.
Bungeni sio sehemu ya mipasho.
 
kwa hiyo nkamia, mwigulu na serukamba wewe ndo wamekufurahisha, kazi kweli

Hapa ndipo ambapo huwa nashindwa kuelewa utofauti wa CCM na CDM maana CCM wakitukana na CDM nao wanatukana eti kisa CCM wametukana. Jamani tubadilike, mtoto baba akipee kwenye chungu cha mboga haimaanishi na wewe upee kwenye chungu cha mboga. CDM wanatakiwa wawe mfano bora wa ustaarabu ili watu wanotice utofauti wa CCM na CDM.
 
Huwa nikiona thread kama hizi nafurahi sana maana ni dalili njema kwa CHADEMA mda si mrefu.
 

Huyo spika wa bunge ameweza kuli-control bunge....? Jiulize kwa nini mara nyingi bunge linaingia kadhia akiwepo Job Ndugai?
Okay mtu asiye na chama....si ndio mbuzi asiye na mchungaji wala zizi (Hamad Rashid)
Matusi kama ya Serukamba kuruhusiwa bungeni ni aibu kubwa hata kama ukijifanya huoni!
 

Ungekuwa fair ungewataja Nchemba, Serukamba, kigwangala. Lkn kwa sababu ufisadi umekujaa kwenye ubonhgo utaropoka unavyo taka.
 

Andika hilo tusi la mbunge (wabunge) wa CHADEMA....
 
Jaman umetokea wap wewe mda huu??????????????!!!!!!!!!!!!!!!! hemu lete nikunuse mikono...........nakushauli next time usitumie hicho kilevi mchana. na uzoefu unaonyesha mtu akitumia mchana ni lazma aende toilet.....sasa ombi langu kwako katawaze kwanza halafu unawe mikono kutoa harufu ya kinyesi na bangi.
 

Propaganda!!!! Eti wanatumikia wananchi.... Kwa lipi? Wameshajenga barabara hata ya nusu kilomita? Kama hawajajenga wanawatumikia vipi wananchi? Ninyi ninyi CHADEMA mtasambaratika sana ifikapo mwaka 2015. Sasa hivi ni kelele tu za mbwa mwenye njaa. Siku ya siku ikifika hamtaamini kabisa. Mwaka 2015 CCM kura 80% CHADEMA 10.5% CUF 7.5% na UPPT Maendeleo 2%!!!! Amini usiamini...................
 
Kwanini haya yanatokea siku hizi? CDM mnatumia ukumbi wa bunge ni sehemu ya kampeni badala ya kutunga sheria na kujadili masuala ya maendeleo kila kukicha matukio yenu niya kutafuta huruma ya wananchi. Singo zenu zimeishiwa na wakati.

Swali zuri bwana cha-mavi-ga. Yanatokea sasa kwa sababu ni sasa ndio tuna wawakilishi wanaohoji yanayoendelea. Hapo zamani hayakutokea kwa kuwa wawakilishi walikuwa hawahoji, wao ni kuitikia tu na kupiga makofi. Matokeo ya kupiga makofi na kuitikia kama majuha, ndio tumeona Shirika la Reli likapewa mwekezaji ambaye hana fedha na baadaye serikali hiyo hiyo iliyoamua kubinafsisha shirika kwa kisingizio cha kukosa fedha za kuliendesha, ikaanza kulipa mishahara.

Najua kwa level yako huwezi kuelewa misingi ya upinzani kwani hata akili yako ni ndogo. Labda tu kwa kukusaidia, anayeliaibisha bunge ni Mheshimiwa anayesimama na kulalamika juu ya mambo meeengi ambayo serikali iliyaahidi miaka nenda rudi na bado hayajatimizwa, halafu mbunge huyo huyo anaishia kwa kusema kuwa anaunga mkono hoja kwa 100%. Je, anajua maana ya 100%?

Labda nimalize kwa kukuuliza swali ndugu yangu cha-mavi-ghaa!

Wakati mapendekezo ya makadirio ya bajeti yanasomwa kwa ofisi ya waziri mkuu kuomba 1bn kwa ajili ya kugharamia mazishi ya viongozi wa kitaifa WATAKAOKUFA mwaka wa fedha 2013-2014, ilhali serikali hii hii inapokea misaada ya madawa ya around 600m kutoka kwa wahisani, ulitarajia napo wabunge wa upinzani (ambao ndio wenye akili) wawapigie makofi hao watu wako?

Swali la nyongeza: Swali linapoulizwa bungeni, anayetakiwa kujibu ni Waziri/serikali au mbunge yeyote wa CCM?
 
Huwa nikiona thread kama hizi nafurahi sana maana ni dalili njema kwa CHADEMA mda si mrefu.

Mkuu hizo dalili njema ziko wapi kwa staili hii,ka nini ubishane na mjinga?!,wao kwa sababu ni waelewa wangelikuwa wanawaacha sisi si tunaona,sasa wao waelewa wanapojiingiza kwenye malumbano mwisho wa siku wanaonekana na wenyewe ni wajinga!.kwenye ukweli tuseme ili tukisaidie chama kama kweli kinaonekana kina nguvu,hivi kwanza uliona BANDIKO la Mzee Mwanakijiji?!.
 
Wabunge wa aina híi tuwakatae mapema haiwezekani mbunge kila kukicha unamsikia kalianzisha na si kafanya jambo flani kwa ajili kuletea taifa maendeleo.
Tuwakatae ndugu zangu wasirudi bungeni tena.
Bungeni sio sehemu ya mipasho.

Unafikiri haya mawazo ni mageni...hata wakoloni walikuwa wakiwaambia mababu zetu wamuogope na kumpinga vibaya mtu anaesema "Uhuru"
 

Nimelisema pia huko chini nilikuwa sijaona hili Bandiko lako kula LIKE Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…