Wabunge wa CHADEMA mnakera sana




Bado kidogo wabunge wa maccm watakuwa wanafanyiwa hivi wakiongea pumba
 
Tuvue Gwanda,nisaidie kitu kimoja.Wakati Mwangosi anapigwa na kabla ya kuuawa je kaka Kamuhanda hakuwa akishuhudia?
Kamuhanda naye kumbe CDM?
 
Kwani ni lazima uchangie kama kichwa kina pumba tupu. Umepewa kiasi gani au ni buku 5 ca ugali na gongo. Unayoweka hapa ni kinyume cha mambo kwani watetezi wa haki hawawezi kufanya hayo. Hayo yanafanywa na magamba. Kwa sasa hata mtoto mdogo anajua. Usitupotezee muda hapa ndio mmefanya JF ipondwe na kila mtu kuwa ni kijiwe cha wasiokuwa na ajira(jobless). Uwe na kichwa kinachofikiria.Fujo za Bungeni zimetokana au zimesababishwa na nani? Waliotukana matusi wanaachwa waendelee kuchangia hoja, watetezi wa haki wanatolewa.
 
Khaaa yan hata kwenye taharuma ya kung'oa kucha na meno ni CHADEMA pia?
Msingemwambia Tendwa akifute kweli???
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

WEWE NI MFUASI WA ndugai nani asiyefahamu psychology?
 
Marembo, hapo umekosea, who are these Watetezi, wanamtetea nani hawa? wanajiita watetezi kuwapumbaza Watanzania, mtapumbazika nyie sisi wenye akili barabara tumewagundua. Kama ni kutetea, wanajitetea wenyewe ili wapate kazi...haya huko waliko na wabunge, wabunge wanakataa kuunga mkono Bajeti, sasa hiyo miradi itafanyika vipi? Muone Mnyika aliikataa bajeti ya Maji iliyotenga Mabilioni ya miradi ya Maji Ubungo, aliporudi Jimboni anaanda maandano...sasa hii tuiiteje? ndiyo kuwatetea watu huku? angeunga mkono hoja halafu serikali ishindwe kupeleka maji hapo angekuwa na haki ya kusema, sasa afunge mdomo wake:A S 39:
 

Mkuu hata mimi nilikuwa na wazo kama lako,siku yako inaweza kuharibika kwa sababu ya watu kama hawa.
 
8. Wanaouza twiga ni Chadema.
9. Waliouza Loliondo ni Chadema.
10. Waliomuua kwa risasi Imrani Kombe ni Chadema.
11. Waliomuua Kolimba kwa sumu ni Chadema.
12. Waliomteka na kumpiga Dr. Ulimboka ni Chadema.

MACCM yamepanic.
 
Chadomo ni waropokaji na magaidi

Haya unayosema sio Busara, Watanzania tubadilike.
Maneno km haya ndio yanatumiwa na wabunge km vijembe ktk bunge.
na ww unaonyesha ukiweza kuingia bungeni utatoa maneno km haya haya, Busara kidogo itawale ujinga Mwingi.
 

KAMA UNA UWEZO WA KUNIPA SULUHISHO LA TATIZO /KERO MOJAWAPO KATI YA HIZI NA NI NANI CHANZO CHAKE NITAKUPONGEZA KWA LOLOTE UTAKALOSEMA KUHUSU CHADEMA.VINGINEVYO ENDELEA KUMKABIDHI NAPE REMOTE YA UBONGO WAKO AENDELEE KUKUTUMIA.
1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
4.UFISADI -Dowans na Richmond
5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
kona.
15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA
MAJI.
16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
17.ELIMU DUNI.



NAKUKABIDHI NAMBA HAPO 10 JUU KWANI NDO LINALOKUFANYA UGANDE HAPO LUMUMBA KAMA KOBE JUU YA MTI.
 

Naunga mkono hoja... Ukweli mtupu.
 
Threads nyingine bhanaaa...sijui watu wanakuwa wamechoka sasa wanakuja kupumzika JF
 
huu ni upuuzi mwingine! Chadema hao hao ni wezi wa mabilioni ya EPA?!!!
 
Kama hamuelewi hapa watu wanajibishana na GAMBA moja tu lenye ID zaidi ya mbili.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…