walishasain makaratasi ya posho asubuh.
waliobaki mjengoni wanatosha kutoa sauti za ndiyooooooooo!
dhambi waliyofanya mwaka jana kuupitisha mswada wakatiba ndiyo inawahukumu. Wanaogopa kula matapishi yao.
Msiwe mnadanganya hata kwa vitu vinavyoonekana bana! wengi tunaangalia TV, wabunge wa CCM wako wengi mbona?
hata zile meza hazisikiki zikipigwa. wanao piga meza ni kama watu wanne tu. halafu wengi walio hudhulia inaonekana ni wanawake. ova