Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

Wakati mwingine ndiyo maana tunasema, vi-vidogo kama Tanzania, ambacho watu wake wadogo na,akili ndogo;vina safari ndefu na ngumu.
Ah,hivi,hii imekaaje, mtu ana dhamana ya Juu kabisa ya Uongozi anafika mahala anahubiri ubaguzi na,bado hakemewi!?
Lakini bado tuna nafasi ya kujua ni cha kufanya,ila,tukiendekeza ujinga na uhovyo huu kuendelea, basi,tusije jilaumu.
 
Back
Top Bottom