Wabunge wa CCM walazimishwa kwa nguvu kuingia bungeni kumnusuru Tulia Ackson

Kuingia bungeni sio swala la hiari .WApiga kura wamewapigia kura wabunge waingie bungeni sio wajichagulie kama wanataka kuingia au hawataki.Ningekuwa Dodoma ningenunua rungu niwakimbize wabunge wa UKAWA waingie bungeni kwa nguvu.Kazi waliyotumwa ni kuwemo bungeni sio nje ya bunge vikao vinapoendelea.
Hilo RUNGU labda kwa direct current wa Kazi Jobu
 
1467211774785.jpg
 
Kuingia bungeni sio swala la hiari .WApiga kura wamewapigia kura wabunge waingie bungeni sio wajichagulie kama wanataka kuingia au hawataki.Ningekuwa Dodoma ningenunua rungu niwakimbize wabunge wa UKAWA waingie bungeni kwa nguvu.Kazi waliyotumwa ni kuwemo bungeni sio nje ya bunge vikao vinapoendelea.
punguza kunyonga dogo. Kuna ukweli uliouona kuhusu wabunge wa ukawa. Na unawakubali kiukweli kuwa ni watu makini wenye hoja za kuijenga na kusaidia taifa. Hawa wapo makini hata ukiwasikiliza kuna mambo utagundua hayapo sawa na yanahitaji kuachwa, kuboreshwa na au kutumiwa na mnaoongoza nchi. Haihitajiki nguvu kubwa kucut na kupaste kwa ustawi wa taifa. Na kuonyesha kuwa unawakubali ni hii nia yako ya kuwepo dodoma na rungu mkononi ili uwalazimishe wabunge wa ukawa wahudhurie na kushiriki mijadala ya bunge.
Ccm nna kiburi cha kihongwe mzee kwani hamtaki kukiri na kuona kuwa mmebugi mahali na mnatakiwa kujirudi ili kuujenga mshikamano na umoja wa taifa. Na hili ni kama gonjwa sugu kwani linaanza polepole na mwisho tujikuta hatuna tofauti na somalia. Hamjachelewa kukaa kwenye vikao vyenu na kulibaini hili la taifa kumong'onyoka kwa ajili ya mtu mmoja tu. Kwani mkisema huyo naibu ni tatizo mnapungukiwa nini?
 
Wanahaha kutaka kujaza ukumbi wa bunge kama walivyokuwa wanasomba watu kwa malori kwenda kujaza mikutano ya magufuli ili ionekane anapendwa
 
Back
Top Bottom