Wabunge wa CCM walazimishwa kwa nguvu kuingia bungeni kumnusuru Tulia Ackson

kilaza mjanja

JF-Expert Member
Jun 2, 2016
654
1,143
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha kabisa na yenye muendelezo wa ubabe na kuhadaa wananchi Wabunge wa CCM wanalamika kuwa wanalazimishwa kuja na kuingia Bungeni kwani bunge halina radha kwani Naibu Spika hafuati kanuni na taratibu, sasa wanatakiwa kujieleza kamati kuu ya CCM.
13495334_1068754283171884_1298954110054941752_n.jpg

photo.php
Peter Msigwa - Wabunge wa ccm wanalamika kuwa... | Facebook
photo.php

photo.php

photo.php
 
Huku ni kuchanganyikiwa kwa CCM, kiukweli karibia wabunge wote wa CCM wanadesa michango mingi toka Upinzani.

Sasa karibia wabunge wote vichwa toka Upinzani wako nje, kwa hiyo wamebaki kuangaliana tu kiasi cha wengine kuona haina haja ya kuhudhuria Bungeni.!
 
Kuingia bungeni sio swala la hiari .WApiga kura wamewapigia kura wabunge waingie bungeni sio wajichagulie kama wanataka kuingia au hawataki.Ningekuwa Dodoma ningenunua rungu niwakimbize wabunge wa UKAWA waingie bungeni kwa nguvu.Kazi waliyotumwa ni kuwemo bungeni sio nje ya bunge vikao vinapoendelea.
 
Kama ni kweli itakuwa ni kali ya mwaka kwani kuna mtu anawashika mikono na kuwavutia ndani ya bunge au wanalazimishwaje
 
Si kweli kwamba wanalazimishwa kuingia Bungeni yawezekana kuna hoja nzuri Zaidi ila kwa hii sababu si kweli kwa sababu ni Jukumu la Wabunge kuingia bungeni ndio kazi yao, yaan ofisi yao kuu ni Bungeni, sasa iweje walazimishwe kuingia bungeni?

Ni kama mwanafunzi wewe ofisi yako ni Darasani, sasa iweje ulazimishwe kuingia darasani?
 
Anayelazimisha waingie na anayewalazimisha watoke nje ni nani anawatendea haki?
 
Muda wakingali wananufaika na saccos yao hawewezi kuacha kuingia bungeni. Muhimu kwao ni kupata fedha mambo yao yenda
 
Si kweli kwamba wanalazimishwa kuingia Bungeni yawezekana kuna hoja nzuri Zaidi ila kwa hii sababu si kweli kwa sababu ni Jukumu la Wabunge kuingia bungeni ndio kazi yao, yaan ofisi yao kuu ni Bungeni, sasa iweje walazimishwe kuingia bungeni?

Ni kama mwanafunzi wewe ofisi yako ni Darasani, sasa iweje ulazimishwe kuingia darasani?

Ingependeza tungejulishwa nani anawalazimisha ili tupime nani ana manufaa ya nchi maana tumeambiwa humu JF kuwa kuna kiongozi wa kambi ya pili anawalazimisha wasiingie bungeni.Tujadili yupi ana akili inayofanya kazi sawasaw anayelazimisha waingie bungeni au anayewalazimisha wasiingie ila anawataka \
 
Kuingia bungeni sio swala la hiari .WApiga kura wamewapigia kura wabunge waingie bungeni sio wajichagulie kama wanataka kuingia au hawataki.Ningekuwa Dodoma ningenunua rungu niwakimbize wabunge wa UKAWA waingie bungeni kwa nguvu.Kazi waliyotumwa ni kuwemo bungeni sio nje ya bunge vikao vinapoendelea.
Huu ndio uchochezi unaopigiwa kelele kila siku,sasa kusema hivyo unamaanisha nini
yani waliopo dodoma wafanye kitendo hicho ama?
Lakini nadhani unatambua kitendo hicho ni ukiukwaji wa sheria.
Mods
 
Back
Top Bottom