Wabunge wa CCM wadhihirisha ubovu wao

Wabunge wa CCM wadhihirisha ubovu wao

...

NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!

By yegella

Da umeniacha hoi sana! Yaani kwamba mtu kasifia mambo kibao halafu baadae analalamikia mambo yaleyale aliyoyasifia, sasa tuseme kumbukumbu inapotea kwamba alisifia hapo kabla. Mi naona kama Mh Mbunge anaona atakwaza wadau wenzie ni afadhali kutochangia hoja kabisa, ila ukigeugeu haufai
 
Ninawalaani wote wanaomwagia watu tindikali. Na walaaniwe milele
 
Habari wanajf.

kwanini nina sema wabunge wa ccm wamedhihirisha ubovu wao.
Tumekuwa tunaona mijadala mbalimbali inayoendelea kwasasa ile ya kusema mawaziri mizigo, kwasasa tumeona magazeti mbalimbali yakisema wabunge wa ccm wameandikisha majina ya kukutana na uongozi wao kuwajadili mawaziri wao.

Kimsingi ni ukilaza wa hali ya juu sana kuona wabunge ambao muda mwingi wamekuwa wakitumia uwingi wao kukandamiza hoja za upinzani na kushindwa sasa kutumia uwingi wao kuwatoa mawaziri mizingo, hii inazihirisha ni jinsi gani wabunge hawa wasivyokuwa huru ama upeo wa kulitumia bunge vizuri na kuendelea kujidhalilisha.

Mawaziri wanao wapigia kelele kila siku wamekuwa wakisimama na kusema serikali sikivu pale wanapokuwa kwenye uchangiaji kwenye wizara husika na wamekuwa wakiwasifia mawaziri wao kama malaika vile, leo wanakuja eti wanasema mawziri wao ni mizigo ile hali walikuwa wakiwatusi wapinzani walivyokuwa wanasema mawaziri wa ccm ni janga la kitaifa. Kweli sikio la kufa halisikii dawa nenda kampumzike ccm maana umma umekuchoka na wabunge wako wanakudhalilisha sana.

M4C DAIMA....
Umelaaniwa kwa sababu unamwagia watu tindikali
 
Kwa sababu hii hapa chini, huna mandate yoyote ya kuleta ujinga wako hapa jukwaani. Wewe ni mfungwa

Tindikali igunga,kiongozi wa chadema henry kileo kupandishwa kizimbani jumatatu igunga
Katibu wa kanda ya kichama Mkoa Wa Kinondoni CHADEMA kamanda HENRY KILEO kesho atafikishwa mahakamani mjini IGUNGA.

Henry Kileo ni mmoja tu kati ya kundi kubwa la vijana wa CHADEMA waliotumika na chama chao kumwagia tindikali kijana Musa Tesha huko igunga.
Ikumbukwe vijana wengine watatu walijisalimisha polisi kwa baada ya msako mkali wa chini kwa chini unaoendeshwa na polisi juu ya watu wanaoua na kumwagia tindikali watanzania kwenye mikutano yao ya kisiasa.
Vijana watatu waliojisalimisha wamekili kutumwa na Dr.slaa kumfanyia unyama kijana Musa Tesha(asingekuwa Musa tesha wangemfanyia mtu mwingine) wa kumwagia tindikali.
Baada ya zoezi hilo kukamilika Dr.slaa amekuwa akiwazungusha kwenye malipo na kuamua kujitokeza kwenye vyombo vya usalama na kueleza mkasa mzima.
Mengine nawaachia jeshi la polisi.

NOTE:CHADEMA aiana ya siasa mnazozifanya mtavuna mnachopanda hapahapa Duniani

TANZANIA KWANZA
 
Hiyo mbona ndo walivyo kwani hukuwaona jinsi walivyokuwa eti wanalalamika kwa Kinana hela zimetengwa kwenye bajeti lkn hazifiki kwa wakati na ni watu hao hao wakiwa bungeni kila kitu naunga mkono hoja utafikiri malalamiko yanaenda kwa mtu mwenye mamlaka kuliko bunge. Shame on them

Jeneza la machademavlipo mikononi mwa kinana
 
...

Niraha sana kumsikiliza mbunge wa ccm:

"mheshimiwa spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya ccm. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini chadema wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha mapinduzi. Mheshimiwa spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya ccm) itatusikia na kutuletea maendeleo?"
(makofi) kwa! Kwa! Kwa!

by yegella

naunga mkono hoja kwa 100%
 
Tatizo si kwa hao wabunge tu wala kwa hao mawaziri tu, tatizo ni hilo zimwi kwa umbo lake lote, CCM. Tatizo ni katika umbo zima la ukereketwa kuanzia chini kabisa hadi juu kabisa...kansa imeenea mwili mzima.

Humu JF tulidhani wangesalimika lakini kama tunavyowashuhudia akina ifweero, MSALANI na wengineo, kinga imewapiga chenga! Tazama wanavyopayuka ovyo utadhani wana mapepo! Hakika inaudhi na kusikitisha.
 
Last edited by a moderator:
Wabunge wengi wa CHADEMA hawajui kanuni za bunge, mfano hai ni SUGU, LEMA, MSIGWA na WENJE...

Kwa wenye akili za nyumbu kama zako ni halali kusema hivyo maana huwa hawa jielewi.
 
CCM ni sawa na zigo la kinyesi,usipolitua kwa uzito wake basi utalitupa kwa harufu yake mbaya!
 
Hayo mabunge maccm yenyewe ni mizigo tosha,kichekesho chao ni kwamba mizigo inalalamikia mizigo nyenzake.mwee!
Hahahahahahaaaaaa mizigo inalalamikia mizigo nyenzake umenifurahisha aisee
 
KAMANDA ninakushukuru sana kwa uzi huu , MAWAZIRI PAMOJA NA WABUNGE WOTE WA CCM NI MIZIGO .
 
Ndo walivo wana matatizo chungu nzima majbon kwao bt ukisikia wanavowasifia mawazir mizgo utadata....
 
Hua inaniuma sana wanaongea weee ....wanakosoa bajeti...mwishoni kabisa et naunga mkono hoja hii asilimia 100. why uunge mkono hoja yenye mapungufu ambayo tayar ushaya jua??
 
mmeyaweza mamizigo, Jana kuna moja lilikurupuka baada ya Lema kulipiga mshale, likasimama bila kuzingatia kanuni eti liombwe msamaha.
 
...

NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!

By yegella
unaweza fikiri ni Utani ila ndo wabunge wetu hawa eeh mwenyezi mungu ninaomba kura yangu iwe salama mwaka 2015.
 
Habari wanajf.

kwanini nina sema wabunge wa ccm wamedhihirisha ubovu wao.
Tumekuwa tunaona mijadala mbalimbali inayoendelea kwasasa ile ya kusema mawaziri mizigo, kwasasa tumeona magazeti mbalimbali yakisema wabunge wa ccm wameandikisha majina ya kukutana na uongozi wao kuwajadili mawaziri wao.

Kimsingi ni ukilaza wa hali ya juu sana kuona wabunge ambao muda mwingi wamekuwa wakitumia uwingi wao kukandamiza hoja za upinzani na kushindwa sasa kutumia uwingi wao kuwatoa mawaziri mizingo, hii inazihirisha ni jinsi gani wabunge hawa wasivyokuwa huru ama upeo wa kulitumia bunge vizuri na kuendelea kujidhalilisha.

Mawaziri wanao wapigia kelele kila siku wamekuwa wakisimama na kusema serikali sikivu pale wanapokuwa kwenye uchangiaji kwenye wizara husika na wamekuwa wakiwasifia mawaziri wao kama malaika vile, leo wanakuja eti wanasema mawziri wao ni mizigo ile hali walikuwa wakiwatusi wapinzani walivyokuwa wanasema mawaziri wa ccm ni janga la kitaifa. Kweli sikio la kufa halisikii dawa nenda kampumzike ccm maana umma umekuchoka na wabunge wako wanakudhalilisha sana.

M4C DAIMA....
How about Leticia Nyerere na Rose Kamili?
 
Back
Top Bottom