Wabunge wa CCM ni zecomedy

Kwahali ilivyo kweli ni Ze Comedy! kwani Jairo alijua hakuna kitu kitakachompata..Gamba gumu maana limeanzia kichwani mpaka miguuni!

Mimi naona kuwafananisha Wabunge wa CCM na Ze Commedy ni kuwashushia tu heshima akina Mpoki, Joti na Masanja. Ze Commedy ni wabunifu lakini hawa wabunge wa Magamba wameamua kuzihifadhi akili zao waje kuzitumia wakistahafu. Leo nimemsikia aliyekuwa Jaji mkuu eti akilalamika kwamba alikuwa anapewa amri ahukumu vipi kwenye kesi zake! This is a shame! Huenda nae ndio kwanza ameanza kuzitumia alizokuwa amezipeleka likizo. Kwanini sasa hakukataa wakati ule ule kutumika kwa maslahi ya watu hadi kumfanya kutotenda kazi zake kwa weledi!

Hii ni aina ya Watanzania tulionao leo. Mtu akishastaafu ndio kama anastuka na kuanza kuona mambo aliyopaswa kuyafanyia kazi akiwa madarakani. Tazama Sumaye, tazama Warioba, tazama alkina Jaji Bomani. Wote ni wale wale!

Hamna wakiwa madarakani wanafikiri kwa masaburi wakistaaf wanatumia kichwa cha kawaida wanakera sana kujifanya wanajali too late i hate'em

Siku ya kufa haikwepeki,hiki chama kimefikia mwisho kiko icu kinapumulia mashine,pamoja na barua aliyoionyesha sherukindo na maneno ya waziri mkuu ambaye naamini alijiridhisha kuwa jairo angemfukuza kama angekuwa na mamlaka ya kufanya hivyo,leo hii amesafishwa na kupokewa kwa nderemo na vifijo wizarani na ikulu pia,si hivyo tu bali gari lake limesukumwa na yeye kukumbatiwa na Luhanjo kinyume cha matarajio ya wengi Bunge limechachamaa,HUU NI MTANANGE mwingine vuta ni kuvuta kila mtu anavutia kwake bunge na ikulu tusubiri ombwe jingine la uongozi wa kikwete.

HAO WALIOMKUMBATIA NI MUENDELEZO WA KUOGOPANA AMBAO MAGAMBA WANAO WAACHENI WATAPETAPE TU KAMA SISI WATAARAM WA TIBA ZA AFYA TUNAIITA HALI YA SASA YA MAGAMBA NI RUNIN' TO THE TERMINAL STAGE

Waache waseme ndiyoo! Wanafikiri kwa masaburi-ndiyooo! Wao ni ze komedi-ndiyooo!hiyo ndo wanajua magamba.

Jairo ni mwanachama wa CCM mwaandamizi,kwahiyo anajua anachokiongea.So obviously wabunge wa CCM ni ze-comedy.Na mimi naongeza, na mavuvuzela.
Wabunge wa CCM ni Ze comedy?
Baada ya Mbunge wa Kilindi Chama Cha Magamba (CCM), Beatrice Shellukindo kumtuhum Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo. Bwana jailo alijibu tuhuma hizo kwa kusema "Wabunge wa CCM ni Ze comedy" nao Wabunge hao wa Chama Cha Magamba wakaja juu sana katika kikao chao cha ndani. Jee kunaweza kuwa na ukweli kuwa wabunge wa CCM ni sawa na Ze comedy?

Inawezekana maana walichosema kuhusu huyu JEURI cag amepiga chini na KM Kiongozi kamrudisha kwa ofic so they (wabunge) were making fun

Back
Top Bottom