Tatizo si majina dada angu, ila hoja. Inakuwaje hoja hiyo hiyo unaikubali kwa kuwa kuhisi imewakilishwa na mbunge wa chama chako, unapotekea ushahihisho kuwa ni mbunge wa chama kingine unaikataa? Hii ni ajabu kweli yani rafiki yako akisema embe tamu unasema ndio, asie rafiki yako akisema embe tamu unasema sio? Tuache ushabiki wa kichama wabunge wengi wapo pale kimwili tu lakini fikra hazipo wana jaza vitu tu hata hawafuatilii kinachoendelea na ndio maana wengi hawendi bungeni bila sababu za msingi, bunge la sasa ni la bajeti ya mwaka mzima lakini bajeti inapitishwa na wabunge hawazfiki hadi robo yao? Jamani nani sasa atatetea maslahi ya wananchi wakati wao ndio wametumwa. Hii nchi hatuko makini ndio maana umaskini hauishi, ujanja ujanja mwingi kwenye maisha.
tangu lini wabunge wa ccm wakaunga mkono hoja za maendeleo ? lakini waone wanavyogonga meza kwenye ufisadi wa barabara unaoongozwa na magufuli .Ewe punguani haujuwi kuwa pale kuna wanachama wa kambi tofauti?
Sasa mbunge wako kama anaakili anachotakiwa awakinashe wa chama kingine wamuunge mkono. Na tumeshawahi kuona kuna hoja wabunge wa vyama vyote wanaziunga mkono wakiona zina maslahi ya jumla kwa Taifa. Hujayaona wewe?
Lakini hivi vi hoja vya mradi tu mpinzani anapinga kwa kuwa ni mpinzani, hivyo tunawahenyesha tu.
kuna mambo yanafanyika nchi hii kiasi cha kutia aibu kabisa ! hivi ukiwa mbunge wa ccm unanyang'anywa kitu gani kichwani jamani ?Uwiii sasa matusi ya nini? Jmani! waliulizwa mnaunga hoja ya Mh. ester bulaya wakasema ndiooooo, akasema samahani ni Hoja ya Mh. Ester Matiko wakasema siooooo, sasa hapo wanunga mkono hoja au jina? Lakini matusi sio mazuri.
tangu lini wabunge wa ccm wakaunga mkono hoja za maendeleo ? lakini waone wanavyogonga meza kwenye ufisadi wa barabara unaoongozwa na magufuli .
naona wameamua kufia chama na siyo raia walio watuma ama kweli ccm ni janga kuliko majanga mengine wakazane kuvuga kwenye bvr tu vinginevyo wengi hatutakua nao kwenye bunge lijalo
Kwamba hatma ya nchi hii imekuwa, iko na wako wanaotaka iendelee kuwa mikononi mwa hawa wajinga, wapuuzi na wapumbavu inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha.
Mkuu hii imenishangaza sana.. Hawa sijui ni wabunge wa aina gani
Serikali ya CCM imechoka!
Ingawaje Siko Chama Chochote Lakini Nimeona Jinsi Uchama Unatumika Bungeni Hata Kama Kuna Jambo Lenye Maslahi Kwa Taifa Linaweza Kukwamishwa Kwasababu Ya Uchama
kuna mambo yanafanyika nchi hii kiasi cha kutia aibu kabisa ! hivi ukiwa mbunge wa ccm unanyang'anywa kitu gani kichwani jamani ?
Uwiii sasa matusi ya nini? Jmani! waliulizwa mnaunga hoja ya Mh. ester bulaya wakasema ndiooooo, akasema samahani ni Hoja ya Mh. Ester Matiko wakasema siooooo, sasa hapo wanunga mkono hoja au jina? Lakini matusi sio mazuri.
Wanaunga MKONO JINA!hahahaha hiyo ni CHICHIEM
Sawasawa kijana safiii...!
Aibu yao hiyo, kweli ningekuwa nimechagua mbunge wa ccm halafu ameshiriki huo upuuzi lazima ningempiga biti tu nikikutana nae hata kama angekuwa na muonekano kama wasira. N ajivunia maamuzi niliyoyafanya 2010 na kamwe sitarudi nyuma. Kuchagua ccm ni kutoa laana kwa vizazi vyako vyote.
Refer Mkosamali Mbunge wa Muhambwe,Watanzania tukiipigia tean CCM lazima tutafute CONSULTANT wa kutupima AKILI zetu...........
Kabisa tena naenda mbali zaidi haina haja tupimwe akili, tupatiwe matibabu ya akili mara moja lazima tutakuwa wagonjwa.