Ni ukweli wa dhahiri kuwa Sisiem hivi sasa imekuwa choka mbaya.Asante Mungu kwa kuendelea kudhihirisha unafiki wa maccm. Hii chama imechoka imechakaa
Ck= Siku
Inakela= inakera
Sn= sana
Nyie ndio mmechoka kufikiri sawa sawa, ndio maana mmeamua kuwa na ushabiki wa kijinga kwenye masuala muhimu.Serikali ya CCM imechoka!
Hata yule Mwanasheria mfano anapiga kelele hajui anachoongea nchi sio jimbo muelewe
Wacheni mambo ya kukaa kwenye computer mka post upuuzi wenu wachakabisa hii nchi sio ya kuchezewa mleta mada usirudie
Sawasawa.
Mkuu hii imenishangaza sana.. Hawa sijui ni wabunge wa aina gani
Sawa sawa nini?hata hujui unataka nini?rudi shule upate elimu
Kuna ck nitafanya jambo hamtaamini maana inakela sn
Hakuna kosa hapo CCM itabaki kutawala nchi hatuwezi kuwapa wapinzani elimu hawana.
Hakuna mwenye sera mnapiga kelele bungeni hata hamjui sababu yakuwepo bungeni wamepoteza muelekeo wabunge wengi waupinzani darasa la 7.
Unaongea nini wewe mleta mada CCM imeshinda 80percent kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa bado sana kupewa nchi hamna uwezo wakuendesha nchi.
Sawa sawa nini?hata hujui unataka nini?rudi shule upate elimu
Hivi huyu Ester Bulaya mbona haeleweki. Yuko CCM au UKAWA?
ccm imejenga na inaendelea kujenga Taifa la wapenda vyama kuliko nchi,Huwa najaribu kuwaza kwa Sauti Kwamba siku akitokea mwendawaz kama Idd Amini Enzi hizo serikali ikawaomba watanzania wajitolee watajitolea ccm tu au itakuaje?sijuiIngawaje Siko Chama Chochote Lakini Nimeona Jinsi Uchama Unatumika Bungeni Hata Kama Kuna Jambo Lenye Maslahi Kwa Taifa Linaweza Kukwamishwa Kwasababu Ya Uchama
Lingine ili uku