Wabunge wa CCM aibu

Kwamba hatma ya nchi hii imekuwa, iko na wako wanaotaka iendelee kuwa mikononi mwa hawa wajinga, wapuuzi na wapumbavu inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha.

Hii imenipa courage ya kwenda kuisimamia kura yangu..
 
Ingawaje Siko Chama Chochote Lakini Nimeona Jinsi Uchama Unatumika Bungeni Hata Kama Kuna Jambo Lenye Maslahi Kwa Taifa Linaweza Kukwamishwa Kwasababu Ya Uchama

Oktoba itajulikana mbivu na mbichi! Kila mbunge atavuna alichokipanda! Washukuriwe wabunge wote wa UKAWA walioimba bungeni kuwa Serikali ya CCM imechoka!
 
Last edited by a moderator:
Wamechoka kabisa Rage ameonekana anawasifia wapemba at the end wameshambulia kuwa anawabagua kwa kuwataja kuwa wao ni wapemba although rage alimanisha kuwa nchi hii ni wote hata tabora wapo wanafanya kazi zao kama watanzania na hawabaguliwi lakini hili wabunge toka Zanzibar hasa CCM waliona kama anawabagua huku ni full kuchanganyikiwa
 
Asante Mungu kwa kuendelea kudhihirisha unafiki wa maccm. Hii chama imechoka imechakaa
 

Rage mwenyewe ni msomali
 
Wakitoka nje nadhani wataambiana namna walivyowakomoa wapinzani bila kujua impact ya kauli yao kwa Taifa.ImGine nchi nyingine wameiona hiyo sijui tutadharaulika watatushangaa.Kweli CCM ni BED REST NOW
 
Hatuna serikali wala chama. Nchi imeganda hadi october 2015
 
Huu upumbavu uko Tanzania tu,huwezi kukuta ujinga kama huu sehemu nyingine yoyote hata kule Somalia wanakochapana kila siku ujinga huu haupo..!!

Wabunge wa ccm ni kama Wendawazimu fulani hivi, hata laki si pesa hayuko hivyo..!!

Halafu utashangaa eti watu kama hawa wanarudi kwa wingi wao ule ule, Siasa zaw Tanzania zinatutosha sisi pekee..!!!

Aibu

BACK TANGANYIKA
 
Mijinga ya Team Lumumba bado inajipanga ije ku-counter attact!! This is seriously pathetic at all levels!!
 

It is so called "KALI YA MWAKA"
 
Ingawaje Siko Chama Chochote Lakini Nimeona Jinsi Uchama Unatumika Bungeni Hata Kama Kuna Jambo Lenye Maslahi Kwa Taifa Linaweza Kukwamishwa Kwasababu Ya Uchama
Ulimwengu Mbaya, kupitisha ama kukwamisha jambo hata likiwa na maslahi ya taifa hakutegemei Uchama, kunategemea UCCM, period. Idadi ya Wabunge wa CCM huko bungeni ni zaidi ya robo tatu na kwa msingi huo Uchama wa Vyama vingine vya Upinzani una zero effect katika maamuzi ya Bunge.

Hata Wapinzani wakipiga vipi kelele, mswada utapita au kukwamishwa kutegemeana na matakwa ya Wabunge wa CCM walioamua kutanguliza maslahi ya chama mbele ya Taifa. Kutoshiriki kwako kwa mambo ya siasa ni mojawapo ya sababu zilizosababisha Taifa lako kuzama na kufikia hapa tulipo.

Kutokuwa na kadi ya chama si pasipoti ya kutounga mkono juhudi za wapenda mabadiliko. Katika harakati hizi huwezi kuwa neutral, kufanya hivyo ni kusaliti matumaini ya wananchi. Mimi kwa mfano ingawa si mwanachama kwa maana ya kuwa na kadi, nawaunga mkono UKAWA na hili sifichi.
 
Last edited by a moderator:

halafu hoja ilikuwa nzur ila ccm walivoiua
 
Hakuna kosa hapo CCM itabaki kutawala nchi hatuwezi kuwapa wapinzani elimu hawana.

Hakuna mwenye sera mnapiga kelele bungeni hata hamjui sababu yakuwepo bungeni wamepoteza muelekeo wabunge wengi waupinzani darasa la 7.

Unaongea nini wewe mleta mada CCM imeshinda 80percent kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa bado sana kupewa nchi hamna uwezo wakuendesha nchi.
 

Sawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…