ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,310
- 4,040
ningemuona ana akili kama angeanza na kinana, rage na wapumbavu wengine..
Hawa wahamiaji haramu huko Kagera,Geita na Kigoma hawapo kwenye hilo group hapo kwenye bold?
ningemuona ana akili kama angeanza na kinana, rage na wapumbavu wengine..
Mipango yetu ilenge mahusiano na nchi za k usin kuliko hawa banyamulenge. Kuna utajiri zaid kule kuliko huku. Hawa hamna kitu. Rafik asiye na kitu muogope
Ila Macc walishaingia , nakumbuka yule waziri wa kipindi kile asiyejua kiingereza alikuwa very naive.Kelele zote chanzo ni hapo. Waende tu hakuna chochotemtunachopata katika jumuia hii.
Afadhali mkuu Jobo umekuja kwenye suala husika maana kua watu wanajua kuharibu thread mpaka ile maana nzima ya forum(Jukwa la majadiliano) inatoweka. Kimsingi nami najiuliza maswali yanayofana said:EALA ni janga la Jumuiya na sijui ni wangapi wanajua matatizo yake. Nchi wanchama wakati wanakamilisha itifaki ya Soko la Pamoja waliamua kuwa masuala ya ardhi yafanywe kwa kutumia sheria za nchi husika. Kwa kuwa wenzetu hawakufurahishwa na kifungu hicho, basi wakatumia EALA kutunga sheria kadhaa kwa kutumia miswada binafsi yenye lengo la kufifisha uamuzi huo. Sheria ya Huduma ya Utalii ya Jumuiya na Sheria ya Maliasili za Mipakani zilitungwa kwa jinsi hiyo..hii ya mwisho iliwasilishwa na Mtanzania!!! Nadhani Rais alishauriwa asitie saini sheria hizo maana hazijaanza kutumika!! Wamekuwa pia wakipendekeza marekebisho makubwa kwenye Mkataba wa kuanzisha Jumuiya yenye malengo ya kutoa mamlaka mengi kwa Taasisi za Jumuiya katika mambo ambayo bado yako kwenye mijadala. Kwa kifupi ukifuatilia vikao vyao hivyo wanavyofanya utashangaa kuwa muda mrefu unatumika kutalii zaidi ya kushughulikia masuala ya utengamano. EALA haiwezi kufanya vikao sawa na mabunge ya nchi zetu kwa kuwa Jumuiya iko katika hatua za awali za utengamano ambao unashughulikiwa na sheria za ndani. Ukisoma itifaki ya soko la pamoja na itifaki ya Forodha mamlaka mengi yamewekwa kwa Taasisi za kila nchi, sasa EALA ina kazi zipi??? Hata kabla ya jengo la makao makuu ya jumuiya kuzinduliwa mwaka jana, EALA ilikuwa na ofisi zake katika jengo la AICC na ofisi na ukumbi wake ulikuwa unalipiwa kwa mwaka mzima. Uamzi wa kuzunguka ni kwa ajili ya tamaa za fedha na uzandiki tu!
Hata mimi nilipoona Rwanda kuingizwa ndani ya jumuia hii nilishapata tafsiri kua we will never go further! And this is what we are seeing now.
huyu ndo pk, joka lenye vichwa saba..!
Burundi mtoe Burundi wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa like mchezo walede huwa anakuemo kichangia yeye hujoin side yoyote ila hana manufaa zaidi yakuwa ngao na kuusoma mchezo..ukitaza nyuso za hao mapacha watatu wakinafiki utaona wote washajishtukia kuwa ni masuspect wa mauaji wanahitajika kunako ICC mmoja tayari detected hawa system imewasaidia ila mbele wanauona mtego huo. wanajaribu kujifariji kwa kuunda urafiki wa mashaka..ningependa wawe wazi kuwa hawatuhitajiMakao makuu yalikuwepo kabla ya Rwanda haijafikiria kujiunga na jumuiya.Walipo jiunga walijua fika kuwa makao makuu ni Arusha iweje leo waone ni ajabu makao makuu kuendelea kuwepo Arusha?na kwamba vikao kufanyika hapo imekuwa ajabu?.Rwanda wasitafute sababu za visingizio wawewazi wasijivunge mbona imeshajulikana kuwa Uganda,Kenya na Burundi wameshaitenga Tz ni kwenye Jumuiya ila Rwanda ndiyo msemaji wao mkuu.
..kuna wa-Tz walikuwa wanaunga mkono Rwanda na Burundi kujiunga na EAC.
..hoja yao ilikuwa ni kwamba Tanzania "itaziambukiza" nchi hizo amani ikiwa tutaziruhusu kujiunga na EAC.
..kuna wa-Tz walikuwa wanaunga mkono Rwanda na Burundi kujiunga na EAC.
..hoja yao ilikuwa ni kwamba Tanzania "itaziambukiza" nchi hizo amani ikiwa tutaziruhusu kujiunga na EAC.
adolay,Mkuu samahan nimekuuliza swali lisilokuhusu. Niwengine walidhan tutawambukiza amani ambayo hata hivyo hatunayo na si kauli yako.