Wik iliyopita tuliona jinsi boss wa polisi anavyojaribu kuwaonyesha wabunge jesh linavyopiga kazi,! akisema jesh letu linazingatia USASA NA WEREDI..! Wewe mwema..usasa na weredi upi zaid ya kuimarisha matabaka ndani ya jesh?GAP kati ya askar mdogo na ofisa wake ni kubwa...! watendaji PHQ wameoza kwa rushwa..hakuna file la askar kutoka mikoani litakalofanyiwa kaz pasipo KUKATA...PESA..!