chikakatata
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 220
- 98
Huyu Kigoma Malima akija kule kwetu Nyamongo huyu sijui kama ataondoka salama, watu wana hasira naye sana. kwanza nasikia kumbe yeye mwenyewe kaingia ccm mwaka 2005 tu alikuwa chama cha kiislam cha baba yake kilichokuwa kinaitwa sijui nra sijui nini! leo hii anakuja kutaka kuwafukuza wenzake aliowakuta ndani. alishindwa kukijenga chama cha baba yake akaenda kupiga magoti kwa JK akapewa unaibu waziri leo anataka kujiofanya eti atailinda ccm dhidi ya akina makamba, kigwangala na deo filikunjombe (makamanda wa ukweli wanaosimamia maslahi ya taifa kiukweli) ataweza wapi???? kwanza DCI Manumba asipomshitaki kesi ya kumkuta na silaha ya kivita tutashangaa mhalifu mkubwa huyuMakupa, unadhani CCM wanawaelewa hao akina January? Hukusikia kwamba Mhe. Malima alipendekeza kingwangala afukuzwe CCM eti amekuwa too vocal! Ndo maana nikasema Filikunjombe is a wrong 'green' party wote na January. CCM huwa hawapendi kukosolewa, mkuu.