Wabunge Vijana Kupoteza viti vyao 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Vijana Kupoteza viti vyao 2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Izack Mwanahapa, Dec 18, 2011.

 1. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Bunge la sasa limekuwa moto kutokana na ongezeko la wabunge vijana, lakini vijana hawa wapo mbioni kupoteza viti vyao 2015 kama tabia ya kulewa sifa haitaondoka miongoni mwao. Kimsingi Tanzania inahitaji wabunge vijana wenye uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi yao kwa busara kwa kutumia vizuri elimu waliyonayo. Vitendo vya uropokaji na kujiamini kupita kiasi na kuonge kwa sababu tu mdomo unao kama ilivyokuwa kwa Ndugu Kafulila vitapelekea umma wa watanzania kupoteza imani kwa wagombea vijana. Tunaomba mjitahidi kufanya kazizenu kwa ufasaha madaraka makubwa mtayapata tu uasi si lazima
   
 2. Y

  Yetuwote Senior Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani wewe ndio unachagua wabunge? Unge kuja na data kuonyesha msimamo wa wapiga kura. Bilaskaka utakuwa mzee na unakiwewe.
   
 3. e

  environmental JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Vitendo vya uropokaji na kujiamini kupita kiasi na kuonge kwa sababu tu mdomo unao kama ilivyokuwa kwa Ndugu Kafulila vitapelekea umma wa watanzania kupoteza imani kwa wagombea vijana.

  sijaelewa hapa kuropoka???
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  zitto na ndesamburo wanastahili kutorudi
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Labda kwa CDM kimakosa ndio umewaona hao wawili tu!!
  Ccm wabunge wake WOTE wanastahili kutorudi!!
   
 6. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ninamaana ya kuongea vitu bila staha kwa mfano Kafulila alipovuliwa ukatibu mweneze 12/12/2011 alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa hana shida na ukatibu wenezi kwani nafasi aliyonayo ni kubwa na akaendelea kusema akisisitiza kuwa hata mwenyekiti wake anautamani ubunge kwasababu unahadhi lakini alipogombea aliukosa. So unaweza kupima kama kauli hizi zinzbusara au la?
   
 7. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sijakilenga chama chochote na nimetoa taadhari tu kwa ujumla kwasababu hao vijana wanaotarajia kugombea ubunge 2015 wananchi wanaweza kuwapima kwa kuangalia vijana waliopo madarakani sasa wanafanya nini. Kwahiyo vijana wakitenda vizuri sasa watafungua milango kwa vijana wengi zaidi kuingia bungeni 2015.
   
 8. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  [h=2]Wabunge Vijana Kupoteza viti vyao 2011,hiyo 2011 imebakiza 13 iishe au cjakuelewa?[/h]
   
Loading...