Wabunge TUSAIDIENI

Wabunge TUSAIDIENI

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Jana mawasiliano ya barabara yalikatika kati ya Morogoro na Chalinze kutokana na ajali mbili mbaya.
Kilichosababisha usumbufu ni magari yaliyopata ajali kuziba barabara.
Ninawaomba wabunge waiiombe serikali iweke "breakdown" Chalinze ambayo itafanya kazi ya kuondoa magari mabovu na yaliyopata ajali katika barabara.
Breakdown hii iendeshwe na kodi za Wananachi ili kuondoa uwezekano wa kutokuwa endelevu.
 
Hii kali tangu nimeandika hata wa kuunga mkono hakuna,ningeandika kuhusu chama chetu kile cha naniii pangekuwa pamejaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom