sikuona hata mbunge mmoja akichangia kuhusu upandishwaji wa nishati ya mafuta ya taa ambayo inategemewa na wananchi wengi vijini. Hii inatokana na wabunge wengi kugombea ubunge wakitokea mjini na kutokufahamu maisha ya mwanakijiji na kipato chake. Tunasema kipato kwa MTZ ni chini ya dola moja wakati mafuta bei yake ni zaidi ya dola moja. wabunge wanamwakilishaje mkulima, je kuwe na viti maalumu vya wawikilishi wa vijijini? ndio maana bei ya mafuta ilipanda pasipo kupingwa. Wabunge wanawasaliti wananchi wa
https://www.jamiiforums.com