Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,379
Anahujumu muda wa mjadala bila sababu za msingi.Kwanini ameahirisha bunge wakati kukikuwa na nusu saa nzima ya wabunge kujadili.Kwani tatizo nini? Jioni si bunge litarejea?! Tuwe wavumilivu hatumwi mtoto Dukani hapa!
Hiyo nusu saa ingetosha wabunge watatu kujadiliAnahujumu muda wa mjadala bila sababu za msingi.Kwanini ameahirisha bunge wakati kukikuwa na nusu saa nzima ya wabunge kujadili.
Huyu spika hafai na analiburuza bunge ili kuibeba serikali.
Ni kwanini ameahirisha bunge wakati muda bado upo mara baada ya Muhongo kuongea?
Huyu mama ana agenda ya siri.

Sijui nini kimetokea! ukweli ni upi? pesa ni za Umma au si za Umma?
jioni atapewa nafasi naibu waziri wa nishati wa madini kwa muda wa saa 1 na nusu, baada ya hapo bunge litaahirishwa mpaka kesho, na kesho mkutano wa bunge utahairishwa, makinda amedhamiria kuilinda serikali hii ya mafisadi!Mkuu, hilo sio jambo baya. Kwanza ilikuwa inakaribia saa saba mchana na ni kawaida muda huo Bunge huarishwa hadi mchana. Pili, inawapa nafasi wachangiaji kuanisha hoja za kamati ya Zitto/Filikunjombe na zile za "Profesa" ili wakati wa mjadala waangalie pande zote mbili kwa umakini.
Jambo la kushangaza ni kwa nini PM hakuzungumza kwa niaba ya serikali bali akamwachia Muhongo minus "h"