Hao wanadhihirisha wazi kwamba walichokifata mjengoni ni njuluku tu wala hawana uchungu na wapiga kura wao. Inakera kuyapa mamtu dhamana alafu yanaenda kuwa 'unsound mind.' Hayo ndo mafisadi ya kuogopwa kuliko hata kina lowassa. Yaani ni mazezeta kweli hayana hata hoja wala mchango wowote ndo kwanza yanazidi tu kuwapa nguvu mafisadi kila siku wanaongezeka!! Natamani hata niwe nawakoa makwenzi, waone..... Hawa wakija kuomba kura tena, wapigwe mawe!!!