Wabunge kutoka Zanzibar tafuteni bunge la muungano, hili la bara litawatesa

senene.

Member
Mar 19, 2014
98
0
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.

Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.
 

Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,771
2,000
Bunge la muungano litakata mirija yote ya wazanzibar kitu ambacho wazanzibar hawakotayari kukisikia kama walivyo taka kumtoa roho Ally Keissy.
 

senene.

Member
Mar 19, 2014
98
0
Bunge la muungano
litakata mirija yote ya wazanzibar kitu ambacho wazanzibar hawakotayari
kukisikia kama walivyo taka kumtoa roho Ally Keissy.

kwanza wanzanzibar n wez wanakula wasicho kichangia kwa miaka ishrn sasa hata mishahra ya wafanyakaz toka zenj kweny wizara za muungano wanalipwa na tanganyika.
 

Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,873
1,500
Ngoja Asha Bakari Makame akusikie ................. Utajuta kuzaliwa kwanini umeleta hoja hii!
 

RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,865
1,500
Siasa za Tanzania zinakosa mvuto kwa kasi ya ajabu... Kuvumiliana kuna pungua, badala ya kujenga hoja sasa hivi wanazomeana na kupingana wenyewe kwa wenyewe utafikiri hawako CCM! Akisema Warioba kuwa kuna Kero za Muungano wanamjia juu!!! CCM ni zaidi ya mashine ya mpenzi wangu maana kuna wakati iko kati, mara nyuma, mara mbele, mara juu, mara chini.... full kizunguzungu ...
 

Nsabhi

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
1,094
1,195
Tatizo la Wazanzibar ni uvivu wa kazi wewe mtu anaamka saa tatu atafanya kazi saa ngapi?
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.

Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.
 

Magurudumu

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,750
1,500
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.

Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.

Ebanaaeeee una akili wewe!
 

Kashishi

JF-Expert Member
Apr 11, 2010
1,103
2,000
Wee kwani hujui jinsi WaZenji walivyokuwa makupe...wanang'ang'ania bunge la Wabara midhali pana 'ulaji' wa kumwaga (aka posho) tu basi...hata kama asilimia 99.9% ya yanayojadiliwa hayawahusu kwao hilo si tatizo watashinda siku nzima miezi miwili Dodoma for just nothing! Eti wawakilishi?

Hebu mtu jiulize Mambo ya Wizara za Ujenzi, Maji, Usafirishaji, Utalii, Tawala za Mikoa, Miundo Mbinu etc yanawahusu nini? What a waste of time time?

Wenyewe wanakwambia midhali kuna "Ulwa' yakhe:)
 

Christiano Ronaldo

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
259
170
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.

Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.
Nakubaliana na hoja hii. Lakini si kwa faida ya wazanzibari tu, ni faida hata kwa watanzania bara. Itazuia wabunge wa Zanzibar kuingila majadiliano yanayohusu wizara zisizo za Muungano. Bunge hilo liwe linazungumza na kujadili bajeti za wizara za muungano tu - Ofisi ya Makamu wa Rais, Ulinzi, Mambo ya Ndani, Fedha, Mambo ya Nje.
 

mzenjiboy

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
830
500
Nyie Watanganyika humuishi bughudha na wala hamtaki kuelewa.

Muungano haupo kwa ridhaa ya wananchi na wala haupo kisheria yaani Watanganyika ndio wenye haja nao na sio Wazanzibari.

Kwa hiyo haya yanayotokea yote lazima muvumilie washenzi nyie na kama kweli munaumwa na Tanganyika hebu wakabilini viongozi wenu kama munathubutu ili wavunje muungano ili musiendelee kuibeba Zanzibar, badala ya kuandika kwenye mitandao, jambo ambalo halitasitisha mirija kufanya kazi.

Nyie Watanganyika wenyewe kwa wenyewe munabaguana kila mmoja anaona mkoa wake ni bora kuliko wa mwenziwe kufika kutamka kwa wengine eti watataka uhuru wao.

Ila pakija suala la ZANZIBAR munajifanya kitu kimoja kumbe nyote ni wanafiki. 💋
 

Wakwe2

Member
Sep 28, 2012
91
70
Gharama za kuutunza na kuuhifadhi uwongo ni kubwa kuliko kuuhifadhi ukweli na siku zote ni afadhali kuusema ukweli unaouma kuliko uongo ambao utakuumbua nashauri wabunge wa CCM waige ukweli wa Mhe. Kessi hata kama angeambulia kipigo lakini ukweli umefika haiwezekani hata kidogo na hata kimahesabu Zanzibar wapo watu 1.5M kuwe na uwiano sawa 50:50 na Tanganyika watu 43.5M haipo JAMANI CCM WAAMBIENI HAWA WATU NA KAMA HAIWEZEKANI WAO WENYEWE WATAFUTE 100% KUJIWAKILISA WENYEWE NA SIO KUGAWIWA ASILMIA NDOGO IAKAYOAFANYA WAENDELE KULALAMA
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,319
2,000
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.

Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.

Kwani lile la dodoma linaitwaje? Hivi bunge lile likiwa linajadiliwa mambo ya Tanganyika huwa linaitwa Bunge la Tanganyika? Hii Tanganyika ndo mnyama gani tena? Naona mnaona kizunguzungu mpaka mnachoongea hamkijui, upunguani tu umewajaa. Eti hatuchangii muungano, kasema Kessy? Mbona hamuzingumzii zile pesa alozitaja lissu bungeni mnazotuibia? Kama mnataka kujadili mambo ya Tanganyika tengezeni bunge la Tanganyika, na kuwe na serikali ya tanganyika, venginevyo bunge la Tanzania ataingia mtanzania... Habaree ndo iyooo...... :-D
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,319
2,000
Na kama kimewaume waambieni CCM wathubutu kuvunja muungano, msiwe kama wanawake kulalamikia mitandaoni, izo ni sifa za kinafik, mkiingia uraiani kwa kubana pua tena mnasema muungano udumu, mkija huku mitandaoni eti tunawabeba blah blah, halafu cha kushangaza hao mnaojidai mnawabeba wamechoka, na njama zenu tushazijua, mnataka kuiua Zanzibar kiuchumi ili ife kama vile Tanga kwa bahati tumeliona, ndio maana tunadai nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi, TUNATAKA NCHI YETU YENYE MAMLAKA KAMILI. TUACHIWE TUPUMUWE, kama sisi mzigo wa mavi utuwe mapunguani
 

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
2,750
2,000
mzenjiboy
Kwa hiyo haya yanayotokea yote lazima muvumilie washenzi nyie
Elewa kuwa miongoni mwa Watanganika,
Tupo ambao tu-waliberali ambao tunatambua na kufahamu uwepo wa changamoto ktk muungano ambayo yanahitaji utatuzi.
Sasa jazba hadi kunitukana hadi mimi inatoka wapi??
Nimetafakari kauli zako na kuona anaestahili kuitwa Mshenzi ni wewe pamoja na Makaburi ya kwenu.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom