Bunge la muungano
litakata mirija yote ya wazanzibar kitu ambacho wazanzibar hawakotayari
kukisikia kama walivyo taka kumtoa roho Ally Keissy.
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.
Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.
Ngoja Asha Bakari Makame akusikie ................. Utajuta kuzaliwa kwanini umeleta hoja hii!
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.
Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.
Wanawezana wenyewe tu hao! !!!!
Ukiwa karibu yao wakakukubali jiulize!!!!
kwanin wana ubaguz sana?
Nakubaliana na hoja hii. Lakini si kwa faida ya wazanzibari tu, ni faida hata kwa watanzania bara. Itazuia wabunge wa Zanzibar kuingila majadiliano yanayohusu wizara zisizo za Muungano. Bunge hilo liwe linazungumza na kujadili bajeti za wizara za muungano tu - Ofisi ya Makamu wa Rais, Ulinzi, Mambo ya Ndani, Fedha, Mambo ya Nje.Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.
Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.
Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.
Elewa kuwa miongoni mwa Watanganika,Kwa hiyo haya yanayotokea yote lazima muvumilie washenzi nyie