UchocheziWale wanao sema cdm imekufa nadhani wapo ndotoni tazameni hapo tarime mh Heche akiwahutubia wana cdm kwenye mkutano wa Mh Esther MatikoView attachment 1065183View attachment 1065184
In God we trust
Wale wanao sema cdm imekufa nadhani wapo ndotoni tazameni hapo tarime mh Heche akiwahutubia wana cdm kwenye mkutano wa Mh Esther MatikoView attachment 1065183View attachment 1065184
In God we trust
wanaohudhuria mikutano ya yule mzee wa Lumumba wengi wao huja kuburudika kutazama futuhi katika ubora wao!!Wale wanao sema cdm imekufa nadhani wapo ndotoni tazameni hapo tarime mh Heche akiwahutubia wana cdm kwenye mkutano wa Mh Esther MatikoView attachment 1065183View attachment 1065184
In God we trust
Hapo watakwambia hiyo ni photo shopKuruhusu mikutano kama hii ndo njia nzuri ya serikali na chama tawala kujitathmini kuliko kuficha moto kwenye shuka na kudhani kila kitu kiko sawa
Sent using Jamii Forums mobile app