TETEA WATU
New Member
- May 22, 2011
- 4
- 1
migogoro mingi ndani ya cdm inayohusu madiwani hasa kwenye halmashauri za majiji ya arusha na mwanza ni kujihami kwa wabunge wa majimbo husika jf imebaini taarifa toka kwa wadau wa karibu mbunge wa arusha mjini lema anamuhofia mshindani wake ESTOMIAH mallah diwani wa kimandolu vivyo ilivyo kwa ezekia wenje anavyomhofia chagulani adams diwani wa igoma,habari kutoka arusha ndani ya ripoti ya malando na kitila dr slaa aliyoinyofoa ukurasa wa 13 inasema lema ndiyo chanzo cha cdm kutokushinda umeya mana alikuwa anavujisha habari za vikao vya cdm na madiwani wa ccm lengo kujihami na ushindani toka kwa mallah hatimaye alifanyikisha hilo na kuiingiza cdm kwenye mgogoro mkubwa arusha uliyopelekea maafa makubwa,wenje nae aliingiza viongozi wa cdm mkenge kwa kuwaingiza choo cha kike kwa kupanga matokeo ya nani awe meya wa mwanza ili kumdhibiti mshindani wake ndani ya chama chagulani aliyekuwa akitarajiwa na wengi jijini hatimaye leo anakuja na majungu kuwa chagulani afukuzwe amehongwa na ccm kuvuruga cdm mwanza ili abaki peke yake hii mambo ndiyo inayowafanya wawili hawa kugombea ujumbe wa kamati kuu cdm kama njia ya kujihami malalamiko ni mengi toka kwa madiwani cdm ambao wamekuwa wakilalamikia mienendo ya wabunge wao hata chama kutowapa semina au kuwakutanisha ili wafahamiane na wawe na mtu wa kuwasemea kwenye cc ya cdm kama wagombea walioshindwa walikutana wao vipi wakati wanachangia ktk ruzuku ya chama kitendo ambacho kimewafanya wajione wasiohitajika madiwani takribani tisini wa cdm waliokutanu hivi majuzi wametishia kukihama chama hicho orodha na ushahidi tunao wa sahihi za madiwani hao wanaopinga wenzao wa arusha kuonewa wakati wanasimamia kweli unawengine wanaolalamikiwa wataje hapa tujue orodha yao