Wabunge hawa mbona hawasomeki?

Wabunge hawa mbona hawasomeki?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Selasini,mbuge wa karatu,wenje kaka mbona kimya ghafla?na wangingine ambao sijawataja hapa.

Wake wa viongozi wetu jamani mbona kama hampoo?tunategemea nyie kwa kushirikiana na bawacha muwaunganishe wanawake tanzania kwaajili ya ukombozi kamili 2015 lakini mpaka sasa hamjaamka tu?
 
Yuko wa jimbo la Mbulu pia!Mustapha Akonaay,naye kimya!
 
kimya bungeni lakini majimboni mambo kama ulaya.

nikama mzee wetu wa moshi(ndesamburo), bungeni kimya lakini huku Mo Town kuku kwa mrija.
 
kimya bungeni lakini majimboni mambo kama ulaya.

nikama mzee wetu wa moshi(ndesamburo), bungeni kimya lakini huku Mo Town kuku kwa mrija.

tunataka mikutano ya uamsho mbona hata kenye harakati za kukuza chama hawaonekani?kama huyo wa mbulu hata jina hafahamiki na wengi mmojawapo mimi
 
Afadhari hao mkuu Mustafa Akonay sijui yupo wapi huyu mbunge naye ni mzigo tu!
 
hawa ndiyo watakao tuponza tupoteze majimbo
 
Back
Top Bottom