Wabunge CUF wajisalimisha kwa Lipumba

Wabunge CUF wajisalimisha kwa Lipumba

Huyo mbunge mmoja atatokea wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda Bwege akiamua kujitolea kuwasaidia na Zito atumie uungwana wa Bwege kumuachia jimbo kule Kilwa lakini sioni Sehemu nyingine ya CUF kushinda.

Bwege akiamua kuondoka basi tena CUF itakua kama NLD,SAU na UDP.
Walisema ACT ni Chama cha kwenye brief case sasa waje waseme tena.

ACT niliiona kuwa ishio tangu ilipoanza na kuwa na uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima.

Nadhani Upepo ukienda vizuri Ukanda wote wa Pwani kuanzia Mtwara ACT itashinda kwa kishindo cha ajabu kabisa.
Ni mtizamo wangu wa kisiasa tu.
CCM isijaribu kuvuruga chaguzi zijazo kwani ACT imekuja kuonyesha wazi kuwa kakundi ka makada wa CCM wanaowalazimisha watoto wa maskini walioko kwenye vyombo vya dola ili watumie nguvu kuwaweka madarakani kamechokwa na wapiga kura.

Uchaguzi uwe wa haki ili anayeshinda kwa haki atawale kwa haki na asimamie haki.
Tuijenge Tanzania mpya yenye katiba mpya ,fikra mbadala, Uhuru wa mawazo na fikra,Uhuru wa habari,Uhuru wa kufanya siasa za kistarabu kwa ustarabu utakaowekwa na wote ; sio ustarabu unaowekwa kwa malengo ya wachache walioko CCM na tume na msajili na vyombo vya bunge.
Tuweke tofauti zetu za kisiasa tuijenge Tanzania . CCM wapenda haki wote wajiunge na ACT Wazalendo.
CCM imepoteza thamani na hashima ya mwanadam. Watu wanahasisha kuuana kwa sababu tu ya kusifiana kimaslahi
. Haifai tena kuongoza wanadamu labda kikaongoze Kule mwituni. Kama walivyowahi kusema kuwa wakishindwa wataingia mstuni basi waende huko wakaongoze chui na simba ( sio simba sport club).

CUF bye bye!!
Tulikupenda enzi hizo sasa umekufa kifo cha mende ,mlalo wa chali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1050788

MBUNGE wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Suleiman Bungara maarufu Bwege amekuwa mbunge wa pili kutangaza rasmi kuingia kambi ya Profesa Ibrahim Lipumba ambayo sasa ndio inaongoza CUF. Bwege alikuwa mmoja wa wabunge waliokuwa wakiunga mkono iliyokuwa kambi ya CUF - Maalim iliyokuwa ikiongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye amehamia ACT- Wazalendo.

Maalim Seif na mwasisi mwenzake wa CUF, Profesa Lipumba waliingia kwenye mgongano wa kimaslahi uliokia hatua ya kuwagawa wabunge wa chama hicho. Mgawanyo uliozalisha CUF ya Maalim Seif na ile ya Lipumba. Huku mvutano huo ukiendelea Osi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ilimtambua Profesa Lipumba kuwa ndio kiongozi wa chama hicho hali iliyosababisha Maalim kufungua kesi Mahakama Kuu kutaka kutengua utambuzi wa Osi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa CUF ya Lipumba, kesi ambayo Maalim alishindwa.

Huku Maalim Seif akishindwa kesi hiyo, Profesa Lipumba ameidhinishwa na Mkutano Mkuu wa CUF uliotishwa na Baraza Kuu la CUF kuwa Mwenyekiti wa chama hicho ambapo ameingia madarakani na uongozi wake na kwa sasa hatma ya wabunge hao waliokuwa upande wa Maalim Seif inadondokea mikononi mwake.

Mbunge Bwege ameamua kuweka wazi utayari wake wa kufanya kazi na Lipumba, akiliambia gazeti hili kuwa hana sababu ya kusita kufanya hivyo kwani yeye ni mtumishi wa wananchi wa Kilwa waliomchagua kupitia CUF na kwa kuwa CUF iliyobakia ya Lipumba, analo jukumu na kuendeleza mapambano ya kupigania haki chini yake.

“Ninachoweza kusema ni kuwa uamuzi wa Maalim kuhamia ACT ni wa kwake yeye mwenyewe kwa kuwa ana maamuzi yake na mie ninayo yangu,” alisema Bwege ambaye ni mmoja wa wabunge machachari na wachangiaji bungeni. Mbunge mwingine aliyejitokeza ni Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali ambaye juzi alika osi kuu za CUF Tanzania Bara, Buguruni jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa anataka kuendeleza mapambano ya kupigania haki yanayoendeshwa na CUF na kuwa anaendelea na Lipumba kufanya kazi hiyo.

Bobali alisema amerudi nyumbani na kwamba wapo wengi watakaorudi kuungana na Profesa Lipumba na kuwa sasa ni wakati wa kukijenga chama na waliondoka kwenda sehemu nyingine ni utashi wao. “Nimerudi nyumbani baada ya msuguano uliodumu kwa miaka mitatu ndani ya CUF na uliokidhoosha chama, nawaomba mnisamehe kwa yaliyotokea,” alisema.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Magdalena Sakaya alibainisha kuwa chama hicho kinawakaribisha wanachama na wabunge waliokuwa upande wa Maalim Seif na kuwataka kujitangaza kuwa wanaungana na CUF Lipumba. Alibainisha kuwa wabunge wote wa CUF kwa sasa wapo chini ya Lipumba na wanatakiwa kwenda kwenye osi za chama na kuelezea nia yao ya kufanya kazi na mwenyekiti huyo huku akitahadharisha kuwa watakaokiuka na kuanza kuzungumzia chama vibaya pembeni watachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

“Kwanza sisi kama uongozi tulikuwa tunataka kuwaita wote kuka makao makuu ya chama mara moja kuwahoji nia yao ya kuendelea kufanya kazi nasi au hapana, lakini kwa kile tunachoona kimeanza kujitokeza ni kizuri kwa kuwa wapo ambao wameanza kutupigia simu kuomba kurejea,” alisema Sakaya ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kaliua mkoani Tabora kupitia CUF. Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman Khalifa alithibitisha uwezekano wa wabunge waliotangaza kumuunga mkono Maalim Seif kuitwa kwenye makao makuu ya Buguruni kusikilizwa msimamo wao.

Wabunge hao 22 wanatokea visiwani Zanzibar huku Bara walikuwa wanne ambao hadi sasa wapo walikwisha weka wazi utayari wao wa kufanya kazi na Profesa Lipumba huku wengine ndio wanangojewa. “Idadi yao ndio hiyo na wanangojewa msimamo wao kwa kuwa tumeshasema kuwa sie uongozi wa CUF wa sasa tupo tayari kupigania maendeleo na wao kwa kuwa ni wabunge chini yetu basi kwa sasa warejee tujenge chama na kukabiliana na tofauti zetu,” alisema Khalifa.

John Gagarini kutoka Kibaha, anaripoti kuwa Chama cha ACT - Wazalendo Mkoa wa Pwani kimefurahishwa na kujiunga kwa Maalim Seif, na kusema kwao huo ni mtaji mkubwa hasa katika kipindi cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari osini kwake mjini Kibaha, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa, Mrisho Swagala amesema Maalim Seif kujiunga na chama chao kwao ni kama kupata dhahabu ambayo ilikuwa inachezewa na wengine na amejiunga wakati mwafaka kuelekea uchaguzi.

Swagala amesema Seif ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini hivyo anaamini wao wamepata dhahabu na ndiyo mwanzo wao kuwa chama kikubwa cha upinzani nchini tofauti na kilivyokuwa zamani na kuamini kuwa watafanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. “Tunaamini tumepata mtu ambaye anakwenda kukinyanyua chama chetu kwani tumeona kule Zanzibar alivyoweza kuwa na wabunge wengi na kukaribia kushinda nafasi ya Urais licha kushindwa kwa kura chache kila alipokuwa akiwania nafasi hiyo hivyo kupitia ACT atafanya vizuri zaidi,” amesema Swagala.

Amesema hata kwa Bara, Maalim Seif anakubalika kwani hata baadhi ya wafuasi wa CUF mkoani Pwani wameonekana nao kujiunga na ACT ili kumuunga mkono kiongozi huyo wa upinzani baada ya kujiengua kwenye chama hicho baada ya kutoelewana na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba
Wanamtega wachukue mafao yao mwaka 2020 hafu ndo atajua sura zao. Hao wote waliobaki ni wa mlengo Wa Maalim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko ujinga kuacha kiinua mgongo dakika za majeruhi. Hata ingekuwa mm siwezi kuhama.
 
Chama cha wananchi cuf upande wa tanzania bara kipo salama kabisa
Chama cha wananchi cuf unguja kipo salama kabisa
Waliohama chama ni wapemba tu
Wapemba wanamichezo yao ya kiliberali kwa hiyo akihama mwalimu wao lazima tu watamfuhata huko huko alipo ili waendeleze michezo yao ya kupasuana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako kwa Lipumba kimaslahi, ila kiroho ni kwa Seif.

Wanasiasa kamwe hawapo real, maslahi kwanza.
 
Ngoja wajiunge kwake then ataanza kutangaza michango ya kujenga chama kutoka kwa hao wabunge hapo ndipo mamluki wataanza julikana....
 
View attachment 1050788

MBUNGE wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Suleiman Bungara maarufu Bwege amekuwa mbunge wa pili kutangaza rasmi kuingia kambi ya Profesa Ibrahim Lipumba ambayo sasa ndio inaongoza CUF. Bwege alikuwa mmoja wa wabunge waliokuwa wakiunga mkono iliyokuwa kambi ya CUF - Maalim iliyokuwa ikiongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye amehamia ACT- Wazalendo.

Maalim Seif na mwasisi mwenzake wa CUF, Profesa Lipumba waliingia kwenye mgongano wa kimaslahi uliokia hatua ya kuwagawa wabunge wa chama hicho. Mgawanyo uliozalisha CUF ya Maalim Seif na ile ya Lipumba. Huku mvutano huo ukiendelea Osi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ilimtambua Profesa Lipumba kuwa ndio kiongozi wa chama hicho hali iliyosababisha Maalim kufungua kesi Mahakama Kuu kutaka kutengua utambuzi wa Osi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa CUF ya Lipumba, kesi ambayo Maalim alishindwa.

Huku Maalim Seif akishindwa kesi hiyo, Profesa Lipumba ameidhinishwa na Mkutano Mkuu wa CUF uliotishwa na Baraza Kuu la CUF kuwa Mwenyekiti wa chama hicho ambapo ameingia madarakani na uongozi wake na kwa sasa hatma ya wabunge hao waliokuwa upande wa Maalim Seif inadondokea mikononi mwake.

Mbunge Bwege ameamua kuweka wazi utayari wake wa kufanya kazi na Lipumba, akiliambia gazeti hili kuwa hana sababu ya kusita kufanya hivyo kwani yeye ni mtumishi wa wananchi wa Kilwa waliomchagua kupitia CUF na kwa kuwa CUF iliyobakia ya Lipumba, analo jukumu na kuendeleza mapambano ya kupigania haki chini yake.

“Ninachoweza kusema ni kuwa uamuzi wa Maalim kuhamia ACT ni wa kwake yeye mwenyewe kwa kuwa ana maamuzi yake na mie ninayo yangu,” alisema Bwege ambaye ni mmoja wa wabunge machachari na wachangiaji bungeni. Mbunge mwingine aliyejitokeza ni Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali ambaye juzi alika osi kuu za CUF Tanzania Bara, Buguruni jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa anataka kuendeleza mapambano ya kupigania haki yanayoendeshwa na CUF na kuwa anaendelea na Lipumba kufanya kazi hiyo.

Bobali alisema amerudi nyumbani na kwamba wapo wengi watakaorudi kuungana na Profesa Lipumba na kuwa sasa ni wakati wa kukijenga chama na waliondoka kwenda sehemu nyingine ni utashi wao. “Nimerudi nyumbani baada ya msuguano uliodumu kwa miaka mitatu ndani ya CUF na uliokidhoosha chama, nawaomba mnisamehe kwa yaliyotokea,” alisema.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Magdalena Sakaya alibainisha kuwa chama hicho kinawakaribisha wanachama na wabunge waliokuwa upande wa Maalim Seif na kuwataka kujitangaza kuwa wanaungana na CUF Lipumba. Alibainisha kuwa wabunge wote wa CUF kwa sasa wapo chini ya Lipumba na wanatakiwa kwenda kwenye osi za chama na kuelezea nia yao ya kufanya kazi na mwenyekiti huyo huku akitahadharisha kuwa watakaokiuka na kuanza kuzungumzia chama vibaya pembeni watachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

“Kwanza sisi kama uongozi tulikuwa tunataka kuwaita wote kuka makao makuu ya chama mara moja kuwahoji nia yao ya kuendelea kufanya kazi nasi au hapana, lakini kwa kile tunachoona kimeanza kujitokeza ni kizuri kwa kuwa wapo ambao wameanza kutupigia simu kuomba kurejea,” alisema Sakaya ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kaliua mkoani Tabora kupitia CUF. Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman Khalifa alithibitisha uwezekano wa wabunge waliotangaza kumuunga mkono Maalim Seif kuitwa kwenye makao makuu ya Buguruni kusikilizwa msimamo wao.

Wabunge hao 22 wanatokea visiwani Zanzibar huku Bara walikuwa wanne ambao hadi sasa wapo walikwisha weka wazi utayari wao wa kufanya kazi na Profesa Lipumba huku wengine ndio wanangojewa. “Idadi yao ndio hiyo na wanangojewa msimamo wao kwa kuwa tumeshasema kuwa sie uongozi wa CUF wa sasa tupo tayari kupigania maendeleo na wao kwa kuwa ni wabunge chini yetu basi kwa sasa warejee tujenge chama na kukabiliana na tofauti zetu,” alisema Khalifa.

John Gagarini kutoka Kibaha, anaripoti kuwa Chama cha ACT - Wazalendo Mkoa wa Pwani kimefurahishwa na kujiunga kwa Maalim Seif, na kusema kwao huo ni mtaji mkubwa hasa katika kipindi cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari osini kwake mjini Kibaha, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa, Mrisho Swagala amesema Maalim Seif kujiunga na chama chao kwao ni kama kupata dhahabu ambayo ilikuwa inachezewa na wengine na amejiunga wakati mwafaka kuelekea uchaguzi.

Swagala amesema Seif ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini hivyo anaamini wao wamepata dhahabu na ndiyo mwanzo wao kuwa chama kikubwa cha upinzani nchini tofauti na kilivyokuwa zamani na kuamini kuwa watafanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwakani. “Tunaamini tumepata mtu ambaye anakwenda kukinyanyua chama chetu kwani tumeona kule Zanzibar alivyoweza kuwa na wabunge wengi na kukaribia kushinda nafasi ya Urais licha kushindwa kwa kura chache kila alipokuwa akiwania nafasi hiyo hivyo kupitia ACT atafanya vizuri zaidi,” amesema Swagala.

Amesema hata kwa Bara, Maalim Seif anakubalika kwani hata baadhi ya wafuasi wa CUF mkoani Pwani wameonekana nao kujiunga na ACT ili kumuunga mkono kiongozi huyo wa upinzani baada ya kujiengua kwenye chama hicho baada ya kutoelewana na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba
hata ningekuwa mimi ki mwili naingia kwa Prof njaa kali nikishapata mafao yangu tu nduki kwa Maalim.
 
Hakuna mbunge mwenye akili ambaye bado yupo bunge atamkataa lipumba hadharani kwani anajua kitumbua chake kitaingia mchanga ila subirini 2020 watakavyo mkimbia huyo lipumba

In God we trust
 
Lipumba ataendelea kuzama pekee na sakaya wake pekee yao
Wote hao wanaangalia ugali wao lakini wabunge wote wa cuf ni wanachama watarajiwa wa ACT Wazalendo
FB_IMG_1553086124787.jpeg

Watu wanashindwa kujifunza,sijui tamaa ndio zinawapa upofu,wangekuwa na akili wangejifunza ya Lowassa na Chadema.
 
Ugali mtamu

Ni sahihi hata ingekuwa Mimi, bunge likivunjwa wanenda AcT , tunza hii comment yangu mpaka mwakani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima wabunge wa cuf waende act. Ngoja siku chache kama hujashangaa. Wabunge wataamua kwa akili au tumbo zao sio kwa utii wa hofu au kumsujudia maalim seif. Ujue maalim self anasukumwa na ubinafsi tu sio demokrasia au uzalendo. Saa hizi amedhoofika sana wafuasi waliyokua wanamuogopa kwa nguvu zake kisiasa na kiuchumi au kwa mizungu yake wataona wamepata ukombozi.
 
Back
Top Bottom