Wabunge CUF wajisalimisha kwa Lipumba

Wabunge CUF wajisalimisha kwa Lipumba

ACT wazalendo kitakua chama kikuu cha upinzani kitakachopata wabunge wasiopungua 35 wa kuchaguliwa.
Hili litatokea zaidi Zanzibar ila si bara, kabla ya kuwakaribisha CUF(Seif) ACT haikuwa na nguvu bara isipokuwa kigoma, na wabunge wa CUF wa bara walipataikana hasa kutokana na mgawanyo wa majimbo uliyofanyika ndani ya UKAWA.
 
Hili litatokea zaidi Zanzibar ila si bara, kabla ya kuwakaribisha CUF(Seif) ACT haikuwa na nguvu bara isipokuwa kigoma, na wabunge wa CUF wa bara walipataikana hasa kutokana na mgawanyo wa majimbo uliyofanyika ndani ya UKAWA.
Kumbuka hiki chama kina miaka minne tu sasa.
Na pia ni chama tofauti na CUF kilichokubalika kwa mwasisi wake kule Kigoma na sasa kimevuka Bahari .
Ndio maana nikasema kitakua chama kikuu cha upinzani mana kule Zanzibar kitachukua viti vyote vya Pemba na Baadhi ya Unguja.
Je, Mtwara hawatachukua zaidi ya viti vinne?
Je ,Lindi hawatachukua zaidi ya viti vinne?
Je, DSM hawatabeba Temeke? Je,Mkuranga hawatachukua?
Je, Tanga hawatachukua zaidi ya viti vinne?
He, Kigoma hawatachukua zaidi ya viti vitatu?
Je,Tabora hawatachukua kiti kimoja?

Je, Ukijumlisha na Zanzibar hawatakua na zaidi ya viti 50 vya ubunge?.

Zito Kabwe anauwezo mkubwa sana wa kujenga itikadi kwenye mioyo ya watu. CCM hakina ushawishi zaidi ya kutumia mitutu na mabomu ,vyeo na fedha.
Ndio maana miaka 55 sasa lakini bado CCM haijaingia miayoni mwa watu zaidi ya kubadili sheria ili washinde kwa dhulma badala ya kushinda kwa haki kutokana na kukunalika na kujijenga kiitikadi mioyoni mwa watu. Chama kinachotegemea dola kushinda uchaguzi kitakuja kuanguka ghafla pale wale watoto wa maskini wanaotumiwa kuwaumiza maskini wenzao ili watawala na watoto wao waendelee kukalia mifuko ya mapesa na maisha ya kifahari watakapoamua kusimamia upande wa ndugu zao maskini !



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maalim seif ana akili ya kuzaliwa, hawa wataenda muda huu kulinda ajira zao lakini bunge likiisha hakuna namna watachukua kadi za ACT Wazalendo, maalim mbona aliwaruhusu kitambo ili kulinda unga wao.

"Wajinga ni waliwao"..
 
Back
Top Bottom