Akhsante sana ZITTO KABWE kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa katika siku za karibuni....
lazima kamanda kama wewe ujue unatusemelea wengi wa watanzania....lakini huwezi na hutaweza ukiwa peke yako.....
tunashukuru umetambua vyema falsafa ya kufanya kazi kama chama....
binafsi nilijiunga na chadema baada ya kuona ule mtikisiko uliotaka kutokea kupitia kwako mara baada ya uchaguzi.......
ili kwamba hata ukijitoa nichangie kuziba pengo lako....
ni kwa gharama kubwa, lakini yote hii sababu naipenda tanzania....tanzania yenye neema tele kwa kila raia wake........
sasa nimeanza kupata amani na imani kwako..
mungu akubariki sana