Ndugu Mukama inabidi awe makini sana wakati huu.Nimeshangaa sana kuona wabunge wa CCM kumchoka mapema katibu wao Mukama, wanamwambia awe makini kusuluisha migogoro kabla haijawa mikubwa vinginevyo atakuwa ni kiongozi wa kutatua migogoro, ukiwemo ule wa Chatanda
Naye akajibu kwa kujitutumua kwamba tatizo ni baadhi ya wanachama wanaojifanya wako zaidi ya chama ,"nasema tutawafukuza wote" Swali je anao ubavu wa kuwafukuza ? tunaweza jadili zaidi walitumia kigezo gani kumpata mpaka wanamchoka mapema hivi
Source : Tanzania Daima ya Juni 12, 2011
CCM na hawa wen gine wanao ongea hapo kwa kumpa tahadhari hawajui kwa nini Mukama kapewa nafasi hiyo . Kaanzia mbali hadi kuwa KM wao CCM. Ana malengo na karudia maneno ya kuwafukuza ngojeeni muone .Kaeni macho yeye anajua anacho fanya .CCM kweli ni zigo .Kale kamgogoro ka Arusha kanawashinda ?
teh eh teh eh! 0 (MU)+0 (NA)=0 (MK). Mi nadhani 0 (MU) + -1 (NA) = -1 (MK)huwa najiuliza ikitokea jambo je mukama anaweza kubishana kwa hoja na mtu kama Dk Slaa?mana naona ccm hawana jembe wamemtoa makamba wakaweka Mukama na Nape, 0+0=0
huwa najiuliza ikitokea jambo je mukama anaweza kubishana kwa hoja na mtu kama Dk Slaa?mana naona ccm hawana jembe wamemtoa makamba wakaweka Mukama na Nape,
0+0=0
hatimaye wamefanikiwa kumng'oaNimeshangaa sana kuona wabunge wa CCM kumchoka mapema katibu wao Mukama, wanamwambia awe makini kusuluisha migogoro kabla haijawa mikubwa vinginevyo atakuwa ni kiongozi wa kutatua migogoro, ukiwemo ule wa Chatanda