Ndugai kama ni yule yule, bunge litamshinda...Kuna wakati alikuwa anazidisha hasira kwenye maamuzi (tolarance limit yake iko chini sana) hekima na busara ipo chini pia...

Maumivu gani jinsi ambavyo bunge lunaendeshwa bila ya kuzingatia haki na usawa ndivyo ambavyo mnazid ipaisha ukawa msijidanganye mkamjaza sifa akaenda ibeba ccm kma alivyofanya makinda mtajuta tena
na naomba ktk bunge hili awe na fimbo kabisa atakapokuwa bungen. Awe anafanya kama alivyofanya kwa yule mgombea
mambo ya team team yamekwisha HAPA Mzigo tu
UKAWA mpooooo hesabuni maumivu!
we kweli lofa yaani hujui kuwa ndugai ni kiboko cha team lowassa teh teh teheerrrMbona Ngugai ni team Lowassa? Lowassa kamweka mtu wake unachezea pesa wewe?
Mbona Ngugai ni team Lowassa? Lowassa kamweka mtu wake unachezea pesa wewe?
Na aanze kumtandika Mnyika, yule yamaa anayependa kukusanya saini za Mabwana.
Wee, zinaiva, huyu si ndiye aliyeruhusu majizi na mafisadi ya escrow yajadiliwe? Wakati ccm walikuwa wanataka escrow isijadiliwe!Duh hii kali kwani Ndugai na Magufuli haziivi ?.
Hapa kazi tu sasa.
UKAWA mpooooo hesabuni maumivu!
Kilasi Mkuu mambo mengine ya uchaguzi yanatia hasira. Kwani hujui kwamba kulikuwa na watu mchana ccm usiku ukawa? Sasa yule aliyetandikwa fimbo mchana alikuwa ccm usiku ukawa ndo maana alipotaka kuleta kiherehere akapandisha mzuka wa mh. ndo akakatwa na rungu.Ndugai nilimwona kwenye kura za Maoni ccm akimpiga mwenzie na rungu sijuwi yaliishia wapi, mnaona kwa hasira alizonazo hataweza kuendesha bunge la safari hii, nashangaa kinana kumtangaza mtu kama huyo,
Unaibu spika unagombewa, na huyu mama hakugombea. Ila labda uwaziri maana keshalamba ubunge ghafla.Yametimia. Nasubiri kwa shauku kubwa kusikia Tulia Akson akitangazwa kuwa Naibu Spika
Job=kazi
anayejua maana ya ndugai atuwekee