Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,314
- 72,740
Watu wengi wameshangaa kitendo cha wabunge wote wa CCM kumtetea Halima Mdee kwa kauli yake kuwa Spika ni 'fala' eti kaomba radhi?
Kumbe ukweli ni kuwa wabunge hao kwa umoja wao bila kujali itikadi walidhamiria kumuonyesha Spika na ofisi yake kuwa alichokisema Mdee kina ukweli ndani yake.
Sababu hasa ni wabunge hao kuna jinsi mhimili wao unavyo nyanyaswa na serikali kwa kunyimwa pesa za posho za kamati na gharama zingine za uendeshaji ilihali zilisha pitishwa na budget ya 2016/17 na spika yuko kimya .
Na kuwa ni kwa vile Mdee kalitumia tuu neno hilo ndani ya Bunge lakini ni jina wanalolitumia wengi wao wakiwa canteen au sehemu za nje ya bunge. Na watumiaji wakuu ni hao hao wa ccm