Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Kwa sasa wabunge 14 kati ya 19 wameenda CCM wakati mbunge 1 ameenda CHAUMMA, wabunge 4 hawajaamua akiwemo Halima Mdee. Ninafikiri hao 4 naomba warudi kwao CHADEMA kuimarisha chama.
Kwenu kwa maamuzi yenu.
Kwenu kwa maamuzi yenu.