Bakia kwenye kujidanganya na hizo propaganda.
wataalamu wanasema unapochukua uamuzi wa kujenga nyumba ni lazima ujue ni nani atakuja kuishi humo then hapo ndipo unajua aina ya nyumba utakayojenga.
Mleta mada kaandika vizuri sama kuwa 'Wabongo zaidi ya uwajuavyo!', kielelezo kwamba tunataka kuigeuza TZ kuwa ulaya huku tukisahau kuwa wazungu nao walianzia ujima. Kinachotakiwa hapa sio maendeleo ya vitu bali maendeleo ya watu kwanza (akili ya kuwa na hivyo vitu). Inasikitisha lakini ukweli unabakia pale pale kwamba 'what comes first'!

Kwa Tanzania elimu ya kutunza mazingira bado tuko nyuma sana.
Na sijui hii ni kutokana Na umaskini kwahiyo kila mtu anakimbilia dar Na akifika dar hajui afanye nini na kila analo Fanya yeye kwake anaona ni sahihi. Na ndio maana mazingira yanakuwa hivyo.