Ila hata hvyo wazungu wanajitahid sana,ujue watu weusi tupo wachache sana hapa duniani
Kuna wazungu wanazaliwa mpaka wanafikia umri wa miaka 15 hawajawah kuwa karibu na mtu mweusi,sasa mzungu kama huyu siku akiwa karibu na mtu mweusi lazima akukwepe
Achana na huko mkuu we njoo hata huku bariadi ndani ndani na gari lako upotee njia usimamishe gari njiani utafute mtu wa kukuelekeza uone watu wa huku wanavyofyatuka mbio,,,
Daaa aseee, mkuu waafrika/tz wana shobo sana hata kwa mtu ambaye hausiki na maisha yao, wewe angalia humu JF, yaani shobo mpaka ndani kwa mtu wakati hakufaham hata theruthi!.