NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Kwa watanzania waliotengeneza apps na kuzitupa kwenye iOS na Android market au walioshindwa kuziweka huko ila wana installation files watutupie basi tuweze kuona wabongo wako wapi kwenye software industry na tuweze kuwachangia kama zinauzwa tujaribu kununua au kama ni za free basi nyingine hua zina matangazo zipate views angalau tuwanyanyue kidogo na kuwapa challenge mbalimbali ili wajiendeleze zaidi, reviews za watu hua zina matter sana katika industry hii, ku-fix kasoro zilizopo uweze kua better and better labda utafikia lengo ulilokusudia siku moja.
Jamiiforums App haijatengenezwa na wabongo, ile ni service ya Tapatalk.com kama una forum unawalipa wanakupa app yao ambayo inabadilishwa logos/rangi kufanana na forum yako.
Kwa watanzania waliotengeneza apps na kuzitupa kwenye iOS na Android market au walioshindwa kuziweka huko ila wana installation files watutupie basi tuweze kuona wabongo wako wapi kwenye software industry na tuweze kuwachangia kama zinauzwa tujaribu kununua au kama ni za free basi nyingine hua zina matangazo zipate views angalau tuwanyanyue kidogo na kuwapa challenge mbalimbali ili wajiendeleze zaidi, reviews za watu hua zina matter sana katika industry hii, ku-fix kasoro zilizopo uweze kua better and better labda utafikia lengo ulilokusudia siku moja.
JamiiForums ilivyo kubwa bongo am pretty sure wanaweza tengeneza app nzuri tu, wana traffic ya kutosha so hata income najua site ina generate vizuri tu, Kutegemea hiyo tapatalk ni wrong move kabisa huku wana control na site nzima. Ile app inaboa sana, nimeifuta tu after a single dayJamiiforums App haijatengenezwa na wabongo, ile ni service ya Tapatalk.com kama una forum unawalipa wanakupa app yao ambayo inabadilishwa logos/rangi kufanana na forum yako.