Wabongo wana akili sana!

bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
9,454
20,800
Wamezuia viroba wajuzi wamekuja na packing nyingine kwa bei ile ile ngoma inogile
f8a3d551e407960c9ee8ec87862c7d30.jpg
 
Shida ni kuwa serikali haikueleweka na Watanzania...Shida ilikuwa upatikanaji katika ujazo mdogo ambayo ilikuwa inauzwa kwa bei ambayo ni affordable kwa watu wengi mpaka ikafikia wanafunzi wakaanza tumia...Pia package ya Viroba ilikuwa sio environment friendly
 
Hawajielewi nini wanataka
 
Tatizo viongozi wetu mara nyingi wanakurupuka kwenye maamuzi yao na kufata mkumbo... nahisi ukiwauliza hata jeshi la polisi hawajua wanakamata pombe ya viroba au mifuko ya kuwekea viroba.
 
bonge la point Mkuu, mkurupuko ndio unaleta yote haya
 
Kwa maana nyingine hakuna kilicho fanyika labda kma nia ilikua ni kuzuia packing ya kwenye plastics ila kma ni matumizi watu washa tokea upande wa pili
 
Kuzuia viroba ni important for the environmental conservation only. Kuhusu bei sahivi kuna vilevi kama vilivyokuwa katika viroba ila tu vinakaa katika
vikopo vidogo na bei ni kuanzia tsh.500 na ujazo ni mwingi kuliko mlivyoviita VIROBA. asiyeamini atafute DON NYATI
 
lkn kulicho kua kiki semwa ni ulevi wa masaa ya kazi na upatikanaji rahisi (bei)kitu ambacho wajuzi wamekuja na plan b
 
pombe haina heri. ni chanzo cha maovu, umasikini, matatizo katika familia na jamii etc.
 
Back
Top Bottom