wabongo tupunguze tamaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabongo tupunguze tamaa.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Perry, Jul 20, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  leo nimerudisha ile form ya kuomba kazi ya sensa.daaah!!!nilicho kikuta huko,yani watu ambao tayari wana ajira zao nao eti wamepeleka maombi yao.jamani si mtuachie hata na sisi ambao hatuna job tujaribu bahati zetu,kazi yenyewe ni ya mwezi mmoja tu,au ndo mnataka watu tuwe vibaka huku mitaani?
   
 2. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  daaah! hali inatisha sana aisee! nimechoka!
   
 3. c

  cielo Senior Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenye kaz wanapata mishahara vijicent waache tu waombe
   
 4. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  bora hao wanaoomba kazi kuliko kuomba hela.....kila mtu akomae kivyake.mimi hapo sikuungi mkono,hiyo siyo tamaa,hiyo ni juhudi,sababu wako ma-jobless kibao tu ambao hata wao hawataomba nafasi hiyo utakayo,tena ni oppportunity nzuri sana kwako kutengeneza network,na itakurahisishia kupata kazi,,,,nawasilisha.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huko ndio kukaba hadi Penati!
   
Loading...