P ps.yohana Member Joined Jul 18, 2013 Posts 11 Reaction score 2 Jul 19, 2013 #1 Hivi wabongo mchezo gani utatutoa kimataifa? coz boll ndo hivyo majanga tu.nikumbusheni jamani mchezo gani huwa tukishiriki unatutoa faster. au tuwekeze mchezo gani? ili tuondoe haya majanga ya kufungwafungwa ka mlago wa toilet?
Hivi wabongo mchezo gani utatutoa kimataifa? coz boll ndo hivyo majanga tu.nikumbusheni jamani mchezo gani huwa tukishiriki unatutoa faster. au tuwekeze mchezo gani? ili tuondoe haya majanga ya kufungwafungwa ka mlago wa toilet?
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,569 Reaction score 12,208 Jul 19, 2013 #2 Wabongo tuko vizuri kwenye uuzaji wa madawa ya kulevya na ufisadi period.
Sanoyet JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 1,323 Reaction score 295 Jul 20, 2013 #4 Kukatika vitandani