Wiki iliyopita nilikuwa Sauzi, sanduku langu nilikuta limepekuliwa vilivyo.
Niligundua hilo baada ya kulifungua(lilikuwa na kufuli), nilivyolipanga sivyo nilivyo likuta na kufuli lilifungwa kistadi lakini hakuna kilichochukuliwa.