Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,197
- 18,853
Heheh haya mambo sio ya leo kumbe??Hii haikuanza leo, enzi hizo biashara ya kutengeneza batiki inaingia kila mtu anatengeneza batiki hadi zikashuka bei. Wakati zinaanza batiki moja ilikuwa Tsh. 13,000/- miaka hiyo...
Nikaachana na biashara ya kuungua na mishumaa halafu unauza batiki 6,000/-.