Dah wewe wasema waulize wenyewe utajua kwa nini.Duh, kwa jamaa alivyokua slow sana lazima tuwalaumu, jamaa wala hakua na mishe nyingi pale ktk eneo la tukio, walikua wanao uwezo mkubwa tu wakumkabili kabla ya madhara, ingelikua ni wapinzani ungeliskia washapotezwa kitambo coz askari wanaogopa katiba mpya
Mkuu je unajua chanzo cha Tatizo?hv kweli unatetea polisi kwenye hilo tukio,mtu mmoja mapolisi zaid ya 30 na kafunga mtaa kwa masaa.Je wangekuwa watano si mji mzima ungesimama sku yte ya leo
Mkuu hata picha hapo juu ni edit.Sio wabongo tuache unafiki, CCM ndio waache unafiki na uongo. Jamaa alikua mwana CCM kindakindaki, ila baada ya tukio wamemtengenezea kadi ya Chadema kwa kuedit picha na jina ili kuonesha dunia upinzani ndio wahalifu.View attachment 1908441
Na hii ni edit pia???Mkuu hata picha hapo juu ni edit.
Kana unafahamu mambo ya edit utajua tu, jaribu kuangalia kichwa na shingo utapata dots
Maoni ya wengi huyo ni kada wa CCM ila hapo inatakiwa tujue chanzo vyema si kulaumu tu.Na hii ni edit pia???View attachment 1908455
Maoni ya wengi huyo ni kada wa CCM ila hapo inatakiwa tujue chanzo vyema si kulaumu tu.Na hii ni edit pia???View attachment 1908455