dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
- Thread starter
-
- #61
Ujue upendo inabidi uupime kwa 3D
Vinginevyo utakonda, ila kumbuka hili ni funzo tu
Ukivuka hapa hutakaa ubabaike kirahisi tena, maisha ni darasa kila siku
Kweli kabisa ila tatizo moyo wangu unachukia kuvuliwa nguo na wanaume wengine,najioana kama wanauvua utu wangu.
Pole beauty!just be strong kila relation Ina changamoto zake,lkni mtu anayecheat he/she lost respect for himself/herself na kwa mwenzie,hivi Kama mtu hatosheki nawe nw ,itakuaje once married?in case hii kitu yenu ni ya kulast long!.........mi siamini kama mtu wa kucheat anadeserve any second chance ....
Tupa kapun kwa muda uone...km hajal bas ndo iwe safar.
tatizo la wabongo bana, yaani ukisema cheating nyie mnawaza ngono tu. Jamani mbona majanga haya.
sasa nani kakwambia ukavue nguo huko, what i meant is hata ukiwa na boyfriend haina maana huwezi kuwa na mahusiano na vijana wengine hata ya kirafiki tu.
wakati nipo chuo, nilikua na rum mate mmoja yaani alikua boyfriend wake anaitwa john, basi hata mtu akimtania tu yeye utamsikia, "we john atanipiga, mara oh john kanikataza" Basi john akawa john, kilichomkuta alijuta, hivi sasa kaolewa na mwingine ila huwa namkumbushia john wake anabaki kujicheka tu maana alikua mjinga.
yaani mtu eti hataki hata kucheza mziki na kijana mwingine kisa ana boyfriend lol, wake za watu wenyewe tunacheza mbele za waume zetu.
Anyway, nimemaanisha usijifunge akiri yako kwa huyo kaka maana hamna mkataba wowote.
OK BASI, NITARUDI SAA SABA WACHA NIPIGE KAZI ZA WATU

Asante kwa ushauri inaelekea mapenzi yanataka kunipa tuition tatizo ndiyo wa kwanza na mwisho sijawahi kujiingiza kwenye mahusiano na mtu mwingine.
Sure!ni kweli kila uhusiano kuna troubles zake,lkini hivi cheating ni suala la kusamehe?kwenye uchumba o girlfriend/boyfriend stuff?..sidhan kwenye ndoa sawa but sio huku nje,lengo la uchumba ni kutizama tabia za mwenzio kama ni worthy being together o viceversa......Yes....na hakuna sababu yakushindana coz mwisho wa siku mtu unaumia mwenyewe.Kama kuna longolongo mnaekana chin lkn km mambo hayabadilik bac unachapalapa.
ah kumbe ndio maana....that explains alot
how poor!hivi ku-cheat ni rahisi kiasi hicho?mi nadhani hii habari cheating sio mpango,kuna maisha mazuri ya mahusiano pasipo kudanganyana.....
mapenzi bila uongo ni majanga.hata wewe unalijua hilo.
We eti kijana akutongoze akwambie ukweli 100%! Thubutuuuuuuuuuuuu
Ok fafanua kidogo basi umeelewa nini kwa wasichana kama sisi?
Ni kwel.....na wachache wanaongea ukwel huishia kuvuna mabua.
Sorry !labda tunatofautiana uelewa,lakini unachofanya wewe(na wengi miongoni mwetu)si mapenzi,mapenzi =kujaliana+kuheshiamiana/kutii+kuhitajiana short of which si mapenzi,kwa jinsi mambo yalivyo ni wachache sana wako kwenye mapenzi wengi wetu just tuko adventure.alafu two wrongs are not enough to make 1 perfect thing,kama unacheat au kuwa rough ktk sex life just because unetendwa hauishi maisha yako,it's just lwering your pride and honour and humanity......jiulize kitu hiki kwanini wanyama wakimate(ile sex miongoni Mwao)kwa wanyama tofauti Kila siku hatuweza kushangaa wala kusema wanacheat,they don't have a heart(naamini kinaeleweka kile ninamaanisha hapa),they don't reason....sisi tu tofauti,lets use our heads to think and our heart to love and not our heart to think............mapenzi bila uongo ni majanga.hata wewe unalijua hilo.
We eti kijana akutongoze akwambie ukweli 100%! Thubutuuuuuuuuuuuu
sorry !labda tunatofautiana uelewa,lakini unachofanya wewe(na wengi miongoni mwetu)si mapenzi,mapenzi =kujaliana+kuheshiamiana/kutii+kuhitajiana short of which si mapenzi,kwa jinsi mambo yalivyo ni wachache sana wako kwenye mapenzi wengi wetu just tuko adventure.alafu two wrongs are not enough to make 1 perfect thing,kama unacheat au kuwa rough ktk sex life just because unetendwa hauishi maisha yako,it's just lwering your pride and honour and humanity......jiulize kitu hiki kwanini wanyama wakimate(ile sex miongoni mwao)kwa wanyama tofauti kila siku hatuweza kushangaa wala kusema wanacheat,they don't have a heart(naamini kinaeleweka kile ninamaanisha hapa),they don't reason....sisi tu tofauti,lets use our heads to think and our heart to love and not our heart to think............
hahaha hapo sasa mmenena ...lazima kidume akudanganye ndio utamvulia chupi
Alafu ww bhana......unafikir ktk inshu ya chup tu?ktk nyanja mbalmbal.
Ss kwa mtu ambae papuch amepata na bdo anadanganya unamPosition wp?ha ha ha
Migegedano hii ina mambo.
hahaha ngoja nikueleweshe wewe...mwanamke ukimwmabia ukweli nataka kukugegeda hawezi vua chupi lazima umdanganye. sasa ukishamvua chupi demu unaendelea na uongo maana kwanza unakuta kidume ameshaanza kusaka papuchi nyingine ila kwa kuwa kupata papuchi sio kazi ndogo lazima wewe aendelee kuwa nawe becoz of papuchi....wanawake nyie wajanja kabla ya kuvuliwa chupi mkishavuliwa hamna tena ujanja...so while huku ana tafuta papuchi nyingine lazima aendelea kudanganya kuwa upo wewe tuu na kujidai bado anakujali kumbe anakutumia tuu
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.