mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 170
Mkuu wewe umeona kushangaa. Hata mimi nakubaliana na wewe lakini nikuambie kuna kubwa zaidi: Kuabudu na kutukuza wazungu. Wabongo wanatukuza wazungu kiasi kwamba mtu yuko tayari kumgharamia mzungu wa fedha ili aonekane yuko nae kama rafiki. Kuna kipindi nilikuwa Temeke akaja mzungu mmoja mwanaume akawa anajichanganya kwenye vijiwe na kulala guest house za uswahilini ili ajifunze kiswahili kwa urahisi. Nakuambia watu walikuwa wanamgombea kama mpira wa kona ili tu awe karibu nao. Mfano mwingine. Niliwahi kuishi Ulaya kwa muda mrefu kabla sijaoa. Niliporudi Bongo nikaoa mdada mtanzania. Unajua watu walikuwa wanasemaje? Huyu mjinga kweli. Na kukaa Ulaya kote hakuoa mzungu halafu anarudi kuoa mweusi?Watanzania tuna matatizo gan nilikuwa najua ushamba umeshatuisha tangu kipindi icho huwezi amini hadi leo wabongo tena vijana na watuwazima bado wanaendelea kushangaa wazungu.........Tatizo ni nini....au kipi tunachokishangaa......kwa wale wazungu.....Watanzania tuwe washamba na tushangae vitu vinavyofaa kushangaa.....Kushangaa wazungu ni kitu kinachonikera na kuniumiza moyo na kunipa mawazo..........wewe unasemaje mwana jamii forums
kweli Arusha hii tabia sijaiona nimeishi pale kwa mda kidogo ila sijaona mambo kama hayohuwezi amini arusha hi tabia hamna kabisa.kila mzawa wa arusha ni mjanja.
huwezi mfananisha chali wa chuga na sharobaro wa dar au mfuga ng'ombe wa mwanza kwani lazima watamshangaa mzungu tu.washamba bobezi
kweli Arusha tabia hizi hakuna pale tofauti na mikoa mingineMpaka zama hizi kwelii? Arusha nilikuta wazungu hadi waliopangisha single room uswahilini na wanashinda kwenye vijiwe vya shoe shine...
Duh vijana wa Arusha mnafurahisha sana.huwezi amini arusha hi tabia hamna kabisa.kila mzawa wa arusha ni mjanja.
huwezi mfananisha chali wa chuga na sharobaro wa dar au mfuga ng'ombe wa mwanza kwani lazima watamshangaa mzungu tu.washamba bobezi
Kwel wadada wakitanzania wengi ni washamba nakumbuka nilikuwa nasoma chuo flan hapa Tz nilikuwa nikishuhuda wadada walivyo washamba kwa wageni...ambao sio wa tzNa dada zetu wanAwashobokea wakijua wazungu mambo safi kumbe wengine ni homeless wkt huku tz hamna homeless km huko amerika ulaya
Wewe unaishi tanzania ipi? Watu kibao wanalala nje na kushindia mlo mmoja kama sio njaa kabisa nchi hii.Na dada zetu wanAwashobokea wakijua wazungu mambo safi kumbe wengine ni homeless wkt huku tz hamna homeless km huko amerika ulaya
Mbona hapa kwetu homeless Ni wengi sana, watu tunaishi kwenye chumba kimoja Na kila kitu hapo hapo Kama tuko STORE! Kuna tofauti gani na hao homeless wa ulaya?Na dada zetu wanAwashobokea wakijua wazungu mambo safi kumbe wengine ni homeless wkt huku tz hamna homeless km huko amerika ulaya