Wabongo na kipaji cha uharibifu

Yap, bora yetu. Je? Wahindi. Yani muhindi ata ukitaka akupe mapenzi anakupa, ukimtishia mahakama au polisi, wote tunapenda short cut, ndio maana Billie gates kazi zake huwapa watu wavivu kwasababu anajua watatafuta njia fupi ya kufumbua tatizo

Hahaha...nimeipenda
 
Mie, kuna dogo wangu alikulaga Indian ki uraini, ali mkwaluza ubavuni basi yeye akamuambia nakupeleka polisi , aah! mtoto akaa bembeleza dogo nae akagoma, mwisho wa siku dogo akamuambia tukafanye mapenzi, akakataa dogo akasema basi lazima nikupeleke mtoto kusikia ivyo akalainika dogo akaenda nae mwana, na paka sasa ivi wapo nae
Hahaha...nimeipenda
 
huyo siyo m-bongo
vinginevyo kuna majaribio anafanya huko ziwani/baharini
hakuna komputa pembeni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…